Azam siyo timu ya kubeza, Kocha Mgunda asiwe mbuzi wa kafara

Azam siyo timu ya kubeza, Kocha Mgunda asiwe mbuzi wa kafara

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
1. Azam ni timu nzuri, siyo timu ya kuilalamika sana ikikufunga.

2. Mgunda bado anatafuta chemistry ya timu, apewe muda.

njnj.jpg
 
Prince Dube alishindilia mpira wavuni kwa shuti moja matata likakita wavuni huku Manura akiwa haamini kilichotokea pale

Sentence tayari imetimia hio
Hicho Ni kifungu Cha habari[emoji23]
 
Mashabiki wa makolo ni wapumbavu sana yaani hawaelewi kuhusu mpira na hawako tiari kujifunza.
 
Mashabiki wa makolo ni wapumbavu sana yaani hawaelewi kuhusu mpira na hawako tiari kujifunza.
Kama nyie mlivyo hamna akili. Mko busy na unbeaten wakati kimataifa mnapigwa kama wehu
 
Mashabiki wa makolo ni wapumbavu sana yaani hawaelewi kuhusu mpira na hawako tiari kujifunza.
Usiseme wa makolo sema mashabiki wote wa Tanzania uliona mashabiki wa yanga team yao ilipofungwa na al hilal wakataka kocha wao aondoke na aziz ki na feisal wasianze pamoja au umesahau
 
Mtu wa kulaumia ni Golikipa - Manula - siku ya mechi ya Yanga alingia na kale ka-kitu kake akakaweka Golini, kakamsaidia. Sasa jana kwa nini hakuingia na kalekale ka-kitu alikopewa na Babu wake wa wapi sijui; ili akaweke tena golini?
 
Walichokifanya Azam jana ni kumkaba adui kwa haraka kabla ajapata maamuzi sahihi apige wapi pasi na ndio kosa walilolifanya Simba dhidi ya Dube kukosa ukabaji wa haraka kabla Dube ajachukua maamuzi. Azam apewe sifa yake, na Simba waige ule ukabaji wa Azam.
 
Back
Top Bottom