Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Haswaa. Ule ukabaji ni wa viwango. Yaani walitengeneza defense kama tatu ivi wakiwa wanazuia, pass zinablokiwa mapema, na zikipenya defense ya pili inabloku haraka hata kwa rafu mbaya.Walichokifanya Azam jana ni kumkaba adui kwa haraka kabla ajapata maamuzi sahihi apige wapi pasi na ndio kosa walilolifanya Simba dhidi ya Dube kukosa ukabaji wa haraka kabla Dube ajachukua maamuzi. Azam apewe sifa yake, na Simba waige ule ukabaji wa Azam.
Wakipata boli wanatawanyika haraka sana kuelekea kwa kolo huku wakiwapima umri.