Walichokifanya Azam jana ni kumkaba adui kwa haraka kabla ajapata maamuzi sahihi apige wapi pasi na ndio kosa walilolifanya Simba dhidi ya Dube kukosa ukabaji wa haraka kabla Dube ajachukua maamuzi. Azam apewe sifa yake, na Simba waige ule ukabaji wa Azam.