Azam Sports Federation Cup Live Uptades leo Tarehe 23-1-2016

Azam Sports Federation Cup Live Uptades leo Tarehe 23-1-2016

Endapo bingwa wa ligi (VPL) anakuwa vile vile bingwa wa FA kama ambavyo huwa inatokea kule EPL England au Spain La liga bingwa wa ligi kama kawaida huwakilisha nchi kwenye kombe la klabu bingwa Afrika na mshindi wa pili wa FA atapata FURSA ya kuwakilisha nchi kwenye kombe la shirikisho.
 
Mpira umeanza tena jamaa wameechomoa goli zote... Jecha anashangilia
 
Kabisa mechi haikuwa na ufundi hasa kipindi cha kwanza maana Burkina Faso walikamia sana
Ingawa jamaa Wa Burkina Faso wakikaa vizuri watafika mbali
 
Hizi timu ndogo kama alivyosema mtaalamu Ali Mayai wakicheza na timu kubwa huwa hawana game plan furaha yao ni kuwatibulia tuu timu kubwa , kukamia sana na kukaba sana, hivyo ili uwadhibiti hakikisha kwa namna yeyote mnawafunga goli la mapema ama sivyo game inakuwa ngumu sana kadri dakika zinapoongezeka.
 
Back
Top Bottom