Endapo bingwa wa ligi (VPL) anakuwa vile vile bingwa wa FA kama ambavyo huwa inatokea kule EPL England au Spain La liga bingwa wa ligi kama kawaida huwakilisha nchi kwenye kombe la klabu bingwa Afrika na mshindi wa pili wa FA atapata FURSA ya kuwakilisha nchi kwenye kombe la shirikisho.