Hizi timu ndogo kama alivyosema mtaalamu Ali Mayai wakicheza na timu kubwa huwa hawana game plan furaha yao ni kuwatibulia tuu timu kubwa , kukamia sana na kukaba sana, hivyo ili uwadhibiti hakikisha kwa namna yeyote mnawafunga goli la mapema ama sivyo game inakuwa ngumu sana kadri dakika zinapoongezeka.