Hamna mchezaji humo mkuu miguvu tu bora wacheze akina Mzamiru wetu tuHuyu hasta Mimi na mashaka naye
Mi mwenyewe nashindwa kuelewa, hata Saido leo anaonekana hayuko vizuriSimba mpira hautembei. Nini zaidi?
Naeleza nini sasa mi nimemuona uwanjani tuHii ni update kutoka kwenye radio
Tueleze vizuri mkuu hiyo Manzoki amefata nini hapo kwenye kipindi ambacho dirisha dogo limefungwa?
Uwanja una maji?Uwanja umelowa ndiyo maana wachezaji wa Simba wanashindwa kucontrol mpira vizuri ingawa cha kushangaza Coastal Union hawaonekani kusumbuka sana kulingamisha na Simba.
Ila naona tumerudi kulekule kucheza mpira wa taratibu mno na kurudisha mipira nyuma. Mgunda amekaidi mfumo wa Robertinho.
Nafikiri labda mvua ilinyesha au umemwagiwa maji. Uwanja umelowa ila pia wachezaji wa Simba hawana stamina nzuri au wamechoka. Kuna kitu hakipo sawa.Uwanja una maji?