Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,460
- 2,908
Chizi sanaAmefanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi sanaAmefanyaje?
inakuwa kama anaingia uwanjani bila kichwaKwa Kibu nimenyoosha mikono
Amekuwa sababu ya sisi wengine kuandamwa kwenye baadhi ya nyuzi na wapinzanoli wetu
Mwingine tena huyu na mawazo muflis.Bajeti ingekuwa inacheza Man City au PSG wasingekuwa wanafungwa.Yanga kafungwa na Ihefu nani ana bajeti kubwa?Inasikitisha sana, Ni mida wa Simba kuachana na makocha hawa vilaza haiwezekani timu yenye budget kubwa inaenda kusumbuliwa na timu ndogo tena uwanja wa nyumbani! Itakuwaje huko club bingwa kama sio kuaibisha taifa!
Mbungi[emoji2][emoji2][emoji2] mbumbumbu bhanaHivi Utopolo Wamejificha Wapi Leo....Wanajifanya Hawalioni hili mbungi Leo...!
Beleke ni kilaza ndiyo maana kasajiliwa toka LebanonHivi Utopolo Wamejificha Wapi Leo....Wanajifanya Hawalioni hili mbungi Leo...!
Baleke ni mtu lakini anahitaji viungo walio quick ili mabeki wanapokosea waadhibiwe.Beleke ni kilaza ndiyo maana kasajiliwa toka Lebanon
Asingeachwa na Mazembe akasaini timu ya nchi isiyojulikanaBaleke ni mtu lakini anahitaji viungo walio quick ili mabeki wanapokosea waadhibiwe.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hee , Utopolo Kumbe mpo?Inasikitisha sana, Ni mida wa Simba kuachana na makocha hawa vilaza haiwezekani timu yenye budget kubwa inaenda kusumbuliwa na timu ndogo tena uwanja wa nyumbani! Itakuwaje huko club bingwa kama sio kuaibisha taifa!
Chama ni Zawadi iliyoletwa Duniani Na Mungu kupitia Simba...!Acheni mzungu atengeneze timu! Haya mazoea kimbinu nilizoona leo hutoboi kwa akina Raja. Kama Chama asipobadilika game ngumu za kimataifa atakuwa liability. Tusipomjaza ujinga yule Mbrazil atambadili acheze kwa speed zaidi.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Imagine,kuna;Inasikitisha sana, Ni mida wa Simba kuachana na makocha hawa vilaza haiwezekani timu yenye budget kubwa inaenda kusumbuliwa na timu ndogo tena uwanja wa nyumbani! Itakuwaje huko club bingwa kama sio kuaibisha taifa!
Inasikitisha sana, Hapo bado hujataja kikosi chote Chama,Kibu D ndani lakini kagoli kamoko tena kwa shidaImagine,kuna;
1. Kocha Mkuu
2. Kocha Msaidizi Mgunda
3. Kocha Msaidizi Mweupe
4. Kocha wa Makipa
5. Kocha wa Viungo
6. Daktari wa Timu
7. Meneja Rweyemamu
8. Mratibu Abasi
9. Mchambuzi Mzimbabwe
10.Nk
Hili kundi lote linalipwa kufanya nini
Matola nae pia si ni kocha msaidi namba nne ama kaachishwa kazu?Imagine,kuna;
1. Kocha Mkuu
2. Kocha Msaidizi Mgunda
3. Kocha Msaidizi Mweupe
4. Kocha wa Makipa
5. Kocha wa Viungo
6. Daktari wa Timu
7. Meneja Rweyemamu
8. Mratibu Abasi
9. Mchambuzi Mzimbabwe
10.Nk
Hili kundi lote linalipwa kufanya nini
Dubai walienda KUFANYA nini?Nafikiri labda mvua ilinyesha au umemwagiwa maji. Uwanja umelowa ila pia wachezaji wa Simba hawana stamina nzuri au wamechoka. Kuna kitu hakipo sawa.