Azam Sports Federation cup: Simba Vs Coastal Union | Benjamin Mkapa Stadium

Inasikitisha sana, Ni mida wa Simba kuachana na makocha hawa vilaza haiwezekani timu yenye budget kubwa inaenda kusumbuliwa na timu ndogo tena uwanja wa nyumbani! Itakuwaje huko club bingwa kama sio kuaibisha taifa!
 
Mwingine tena huyu na mawazo muflis.Bajeti ingekuwa inacheza Man City au PSG wasingekuwa wanafungwa.Yanga kafungwa na Ihefu nani ana bajeti kubwa?
Ulitaka Simba ashinde ngapi ili uridhike?Au isije ukawa water mellon?
 
Acheni mzungu atengeneze timu! Haya mazoea kimbinu nilizoona leo hutoboi kwa akina Raja. Kama Chama asipobadilika game ngumu za kimataifa atakuwa liability. Tusipomjaza ujinga yule Mbrazil atambadili acheze kwa speed zaidi.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna mtu anajua timu ya Lebanon yenye mafanikio aje hapa atuambie
 
Inasikitisha sana, Ni mida wa Simba kuachana na makocha hawa vilaza haiwezekani timu yenye budget kubwa inaenda kusumbuliwa na timu ndogo tena uwanja wa nyumbani! Itakuwaje huko club bingwa kama sio kuaibisha taifa!
Hee , Utopolo Kumbe mpo?

Sasa hapo Unalaumu nini?

Boli Limetembea na Mnyama Kavuka to next level.....!
 
Acheni mzungu atengeneze timu! Haya mazoea kimbinu nilizoona leo hutoboi kwa akina Raja. Kama Chama asipobadilika game ngumu za kimataifa atakuwa liability. Tusipomjaza ujinga yule Mbrazil atambadili acheze kwa speed zaidi.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Chama ni Zawadi iliyoletwa Duniani Na Mungu kupitia Simba...!

Wachezaji Wa calibre yake wanatokea Mara chache chache...!
I.e. Gaucho,JJ Okocha,Messi,Pele Na Maradona Na Wengine.
 
Inasikitisha sana, Ni mida wa Simba kuachana na makocha hawa vilaza haiwezekani timu yenye budget kubwa inaenda kusumbuliwa na timu ndogo tena uwanja wa nyumbani! Itakuwaje huko club bingwa kama sio kuaibisha taifa!
Imagine,kuna;
1. Kocha Mkuu
2. Kocha Msaidizi Mgunda
3. Kocha Msaidizi Mweupe
4. Kocha wa Makipa
5. Kocha wa Viungo
6. Daktari wa Timu
7. Meneja Rweyemamu
8. Mratibu Abasi
9. Mchambuzi Mzimbabwe
10.Nk
Hili kundi lote linalipwa kufanya nini
 
Imagine,kuna;
1. Kocha Mkuu
2. Kocha Msaidizi Mgunda
3. Kocha Msaidizi Mweupe
4. Kocha wa Makipa
5. Kocha wa Viungo
6. Daktari wa Timu
7. Meneja Rweyemamu
8. Mratibu Abasi
9. Mchambuzi Mzimbabwe
10.Nk
Hili kundi lote linalipwa kufanya nini
Inasikitisha sana, Hapo bado hujataja kikosi chote Chama,Kibu D ndani lakini kagoli kamoko tena kwa shida
 
Imagine,kuna;
1. Kocha Mkuu
2. Kocha Msaidizi Mgunda
3. Kocha Msaidizi Mweupe
4. Kocha wa Makipa
5. Kocha wa Viungo
6. Daktari wa Timu
7. Meneja Rweyemamu
8. Mratibu Abasi
9. Mchambuzi Mzimbabwe
10.Nk
Hili kundi lote linalipwa kufanya nini
Matola nae pia si ni kocha msaidi namba nne ama kaachishwa kazu?
 
Back
Top Bottom