Azam Sports Federation cup: Simba Vs Coastal Union | Benjamin Mkapa Stadium

Azam Sports Federation cup: Simba Vs Coastal Union | Benjamin Mkapa Stadium

Coastal katkat wametukamata ila kibu d anapangwa bas tuu
 
Confidence kama huna uwezo itasaidia nini. Mashabiki wana wajibu wa kumzomea mpaka aachwe kupangwa.
Nguvu ya kumtaka Chama itumike kumkataa Kibu
Kwa Kibu nimenyoosha mikono

Amekuwa sababu ya sisi wengine kuandamwa kwenye baadhi ya nyuzi na wapinzanoli wetu
 
Back
Top Bottom