Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

Azam huwa wanajitahidi sana kuhusu maadili iyo imekuwaje tena.
 
Bila shaka hiyo ECILIA ndio hiyo ALICIA
Azam hawajasikia tangu Nov 29, 2024
 
Kwahiyo saa mbili wewe huwa unakaa wapi?
Maana huo ni mud WAKULA chakula cha usiku na familia na Imezoeleka tv huwa on muda huo
nina miaka 20 tangu niachane na huu ujinga, ila watu tunatofautiana sana aisee
 
Kuna mjapani mmoja aliwahi niambia mika kama 3 imepita kwamba utafiti ambao kampuni za kutengeneza TV walifanya waligundua soko kuu la Tv kwa sasa ni Africa hasa nchi masikini hizi ndio watu wana muda wa kuangalia Tv.

Akaniambia Asia hakuna soko la Tv kabisa make jamaa wako busy sana na Ulaya na Marekani walisha toka huko miaka mingi sana.

Saaa hii post imenikumbusha mbali
 
Kwa hio kitazama Tv pamoja ndio ujanja? Aisee tunakwama sana sisi Wabongo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…