Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

Azam majeuri,Kuna jamaa yangu aliwafuata Instagram alikua nataka kisimbuzi Chao,alikua na 150,000 Kama vipi atawamalizia mwezi unaofuata,walimjibu kaongeze hela,halafu uje,kma au ujeuri ni Nini.
 
Kwanza mitangazo imekaa Sana Azam,Bora hata DStv,wametulia no longolongo,mpaka Cha elfu kumi kipo,
 
Azam majeuri,Kuna jamaa yangu aliwafuata Instagram alikua nataka kisimbuzi Chao,alikua na 150,000 Kama vipi atawamalizia mwezi unaofuata,walimjibu kaongeze hela,halafu uje,kma au ujeuri ni Nini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwaiyo wee ulitaka Azam wamkopeshe?
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Back
Top Bottom