Azam tv hamuwatendei haki watazamaji wenu

Huu uchambuzi unakusaidia nini? Mnahangauka sana, mwakani tunawasubiria timu ikiwa uwanjani mlete huu uchambuzi.
 
Huu uchambuzi unakusaidia nini? Mnahangauka sana, mwakani tunawasubiria timu ikiwa uwanjani mlete huu uchambuzi.
Kwavile huwa unaangalia Azam tv pekee huwezi elewa umuhimu wa uchambuzi ila wale wanaoangalia mpira kupitia super sports, sky sports, bein sports, n.k wanajua ni namna gani uchambuzi unaleta faida kwenye mchezo wa mpira wa miguu
 
Nimeshangazwa na Huyo bint sijui mama kusema si offside ni goli halali. Kama hawezi chambua anaushabiki Bora anyamaze tu.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Katumia picha aliyo nayo kichwani mwake na ndio maana akaomba marejeo ya vudeo ili apate wasaa wa kuona tukio ili ajiridhishe juu ya muono uliokwepo kichwani mwake
 
Sasa hao wachambaji wana impact gani kwenye mpira? Kwanza hawajulikani popote zaidi ya kuwapa faraja utopolo tu.
Kwa taarifa yako Mechi za Simba Original live airing inafanywa kwa lugha ha kiingereza. Hao wachambuzi na watangazaji wa kiswahili wako studio wanaangalia kwenye tv kama wewe tu.
 
Hawa ni wachambuzi wa studio ambao hata kupiga danadana hawajuwi, kwani referee aliamuaje? Kakate rufaa basi CAF kwa niaba ya Berkane.
 
Nawewe unajiona umejibu hoja au ni vioja? Kwahiyo wachambuzi wa super sports wanafanya vizuri kwavile wapo uwanjani tofauti na hawa wa Azam tv wanaoangalia mpira kwenye tv kama sisi?

Kwenye mpira wachambuzi wanafanya analysis ya mechi kwanzia kwenye mbinu, ufundi na pia ku clarify matukio yenye utata kwa kuonesha usahihi wa maamuzi ya waamuzi au madhaifu ya waamuzi. Kama ungekuwa ni mtu wa mpira ungeelewa umuhimu wa uchambuzi hasa kwa kuona vile warusha matangazo kama super sports wanavyofanya analysis
 
UTOPOLO ON THE BEAT... kawasindikizeni berkane usiku umeingia
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa,wanateseka sana hao ndezi,yaani kara nyingi wanachokiwish hakitokei halqfu mbaya zaidi mpinzani hajawahi kufikisha 30% za umiliki mpira ktk gemu ya jana halafu wanalalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…