pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Habari wakuu,
Nawsilisha kwa wanaohusika na kitengo cha Azam Max huduma yake ni mbovu sana hasa huu mwezi yaani huwezi kuangalia kipindi unachopenda yaani muda wote inakata na hakuna marekebisho ukiwapigia wanakwambia wana tatizo la kimtandao, na itakaa sawa lakini hilo tatizo ndio mwezi mzima?
Huku ni kutokuwa serious sasa na pesa za watu yaani nalipia huduma kwa mwezi na siipati kwa quality na pesa hawawezi kuirudisha! Sijui kwa nchi nyingine lakini kwetu hawana kabisa uhakikisha wa quality ya mlaji.