Azam tv hiki sio sahihi kabisa!

Azam tv hiki sio sahihi kabisa!

Ahmadi Brown

Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
19
Reaction score
19
Innalilah Wainna Ilahi Rajiun

RIP

Pole sana kwa ndugu na jamaa na wana tasnia ya habari kiujumla, huu msiba wakwetu sote umetugusa wengi.
Pia Azam Tv mpo vizuri mmetumia ndege yenu kufata miili ya marehemu.

Najiuliza Maswali Mengi Sijapata Majibu!! Katika ajali wanatajwa staffs tu wa Azam lakin ndani ya gari kulikuwa na madereva wawili.

Azam mmefanya ubaguzi basi hata wangesaidia kuleta miili ya madereva. Mngekuwa mmefanya uungwana.

So Sad[emoji17]
 
kumbe waliwaacha huko huko!! mamaaaaa!!!
 
Azam wasenge sana. Yaani wamewaacha madereva Igunga. Si wangewasiliana na familia zao ili nao wawalete Dar?
 
Madereva ni wakukodi na wote walisafirishwa na staff wengine waliofariki, jamani tupunguze chuki sisizo na tija aisee... No research No right to speak... Wabongo hawana hata shukrani
 
Back
Top Bottom