makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Natizama tu, siku hizi kuna comment nyingi saana za udini, tena wakati mwingine inafikia hatua ya kukashfiana. tunakoelekea ni kubayaKuna Baraka Mpenja
Patrick Nyembera
Charles Hilary
Ivona Kamuntu
Mkuu , hawa jamaa wanasumu nyoyoni mwao za chuki dhidi ya SSB & Company.
Ila management haina shida kabisa ipo Well balanced na kuajiri quality people.
Labda wanaiba matangazo hawana haki!Hili ni tatizo la muda mrefu la Azam TV , hawana mabingwa wa promotion , huwezi kujua mechi inayochezwa hadi uingie kwenye channel ya soka , kwa mfano hakuna matangazo yoyote kwenye channel zao yanayoonyesha kwamba kuna ligi ya ufaransa , wala haijulikani game gani inaonyeshwa na channel fulani...
Arise and shine ya mwamposa mbona ipo .Daaah! Eti zbc2 ni channel ya misikiti[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe si umesema 'chaneli ya misikiti'??😂Hebu fafanua kidogo mkuu
Mnahitaji muwekewe na ya mashabiki,wapenzi na washiriki wa mapenzi ya jinsia moja!?Mbona iko wazi tu mkuu
Jamaa hajakuelewa kabisaNikikuuliza tolea ufafanuzi umeelewa nini kwenye comment yangu, unaweza kujibu japo kwa mistari michache?
Hivi mbona channel zote siku ya j'pili huwa zinageuka kuwa makanisa na hakuna lawama?Daaah! Eti zbc2 ni channel ya misikiti[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Waislamu tunaonewa sana nchi hii,tunaonekana kama hatustahili chochote kizuri.mlitunyima elimu kipindi kile wazee wetu wakakimbilia biashara na masokoni lakini bado tukifanikiwa na huku mnaona hatustahiliUkitoa ajira kwa kufuata mlengo fulani tena wa kibaguzi unategemea upate maendeleo na ubinifu....?!
Ubaguzi wowote huwa unazaa umauti .....
Ukizungumzia ushoga unaigusa dini yako 100%.Hivi mbona channel zote siku ya j'pili huwa zinageuka kuwa makanisa na hakuna lawama?
Mashabiki wa ushoga mna tabu
Ungetulia ukamuelewa jamaa, naye anapinga chuki ya udini inayopewa Azam media kama unavyopinga wewe mkuu.Kwa hiyo hao akina PATRICK KAHEMELE na TIDO MHANDO ajira walipewa na AGAPE TV AU?
Chuki mbaya sana hivi unazani Afrika mashariki kuna kama AZAM pamoja na ubaguzi wake ?
hebu tuelezee ubaguzi wa AZAM media ni upi?
INAONEKANA UNAUCHUKIA SANA UISLAMU.
Hili tatizo lingeisha kwa kuweka program ya mteja kutafuta ratiba mwenyewe. DSTV ukiweka channel 220 ukabonyeza OK inakupa option ya kutafuta unachokitaka kitaoneshwa wapi na muda gani? ...
Kuna Baraka Mpenja
Patrick Nyembera
Charles Hilary
Ivona Kamuntu
Mkuu , hawa jamaa wanasumu nyoyoni mwao za chuki dhidi ya SSB & Company.
Ila management haina shida kabisa ipo Well balanced na kuajiri quality people.
Mbona iko wazi tu mkuu
Kweli kabisa.Ukizungumzia ushoga unaigusa dini yako 100%.
Wewe sasa ndo una chuki, soma tena andiko langu unioneshe mstari wenye chuki.Mbona ukibonyeza epg inakuletea ratiba shida chuki mlizo nazo zinawasumbua
Sidhani kama tunaelewana , sina shida na channel yoyote kuonyesha mpira , shida yangu ni kutaka mashabiki wajulishwe kwa game fulani inaonyeshwa na channel namba kadhaa , baasiSasa ulitaka apeleke mpira kwenye channel ya upendo?
Hiyo channel anaimiliki yeye ndio maana unaona anapeleka mpira huko hebu jiongeze kamanda sio kila kitu ni siasa
98% ya vipindi vyake ni dini tu , sasa hili nalo mnataka kukataa ili iweje ? wala hilo silipingi bali ninachotaka kusema ni kwamba ni lazima Azam waseme game ipi inaonyeshwa wapi.Duh....ZBC2 Chanel ya Misikiti [emoji848][emoji848]