Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

Kuna Baraka Mpenja
Patrick Nyembera
Charles Hilary
Ivona Kamuntu

Mkuu , hawa jamaa wanasumu nyoyoni mwao za chuki dhidi ya SSB & Company.

Ila management haina shida kabisa ipo Well balanced na kuajiri quality people.
Natizama tu, siku hizi kuna comment nyingi saana za udini, tena wakati mwingine inafikia hatua ya kukashfiana. tunakoelekea ni kubaya
 
Hili ni tatizo la muda mrefu la Azam TV , hawana mabingwa wa promotion , huwezi kujua mechi inayochezwa hadi uingie kwenye channel ya soka , kwa mfano hakuna matangazo yoyote kwenye channel zao yanayoonyesha kwamba kuna ligi ya ufaransa , wala haijulikani game gani inaonyeshwa na channel fulani...
Labda wanaiba matangazo hawana haki!
 
Ukitoa ajira kwa kufuata mlengo fulani tena wa kibaguzi unategemea upate maendeleo na ubinifu....?!

Ubaguzi wowote huwa unazaa umauti .....
Waislamu tunaonewa sana nchi hii,tunaonekana kama hatustahili chochote kizuri.mlitunyima elimu kipindi kile wazee wetu wakakimbilia biashara na masokoni lakini bado tukifanikiwa na huku mnaona hatustahili
 
Kwa hiyo hao akina PATRICK KAHEMELE na TIDO MHANDO ajira walipewa na AGAPE TV AU?
Ungetulia ukamuelewa jamaa, naye anapinga chuki ya udini inayopewa Azam media kama unavyopinga wewe mkuu.
Ndiyo maana alikuuliza umeelewa alichoandika? Ungerudia kusoma ungemuelewa, ila ukapata jazba wakati wote mpo on the same page
 
Chuki mbaya sana hivi unazani Afrika mashariki kuna kama AZAM pamoja na ubaguzi wake ?

hebu tuelezee ubaguzi wa AZAM media ni upi?
INAONEKANA UNAUCHUKIA SANA UISLAMU.

Mjinga sana huyu jamaa eti udini tena kitengo cha masoko wako wakristo wengi hilo halioni chuki tu zinawasumbua
 
Hili tatizo lingeisha kwa kuweka program ya mteja kutafuta ratiba mwenyewe. DSTV ukiweka channel 220 ukabonyeza OK inakupa option ya kutafuta unachokitaka kitaoneshwa wapi na muda gani?

Kwa AZAM TV sijaona program hiyo labda kama ipo anayejua anijulishe. Wakiweza kuweka hilo itakuwa rahisi sana, unachukua remote asubuhi unasearch ratiba unakuwa unajua mechi fulani itakuwa saa ngapi muda Fulani maana DSTV wameweka mpaka option ya "Reminder", ukitaka kuangangalia kipindi Fulani cha muda wa baadaye unabonyeza reminder muda ukifika decorder inaswitch yenyewe kwenye channel yenye kipindi unachotaka.
 
Hili tatizo lingeisha kwa kuweka program ya mteja kutafuta ratiba mwenyewe. DSTV ukiweka channel 220 ukabonyeza OK inakupa option ya kutafuta unachokitaka kitaoneshwa wapi na muda gani? ...

Mbona ukibonyeza epg inakuletea ratiba shida chuki mlizo nazo zinawasumbua
 
Kuna Baraka Mpenja
Patrick Nyembera
Charles Hilary
Ivona Kamuntu

Mkuu , hawa jamaa wanasumu nyoyoni mwao za chuki dhidi ya SSB & Company.

Ila management haina shida kabisa ipo Well balanced na kuajiri quality people.

Kuna dada anaitwa Sabrina kuna Jacob kuna Adam Ndimbo kuna sebastian huyu yuko kwenye promotion hilo hawalioni
 
Duh....ZBC2 Chanel ya Misikiti [emoji848][emoji848]
 
Sasa ulitaka apeleke mpira kwenye channel ya upendo?

Hiyo channel anaimiliki yeye ndio maana unaona anapeleka mpira huko hebu jiongeze kamanda sio kila kitu ni siasa
Sidhani kama tunaelewana , sina shida na channel yoyote kuonyesha mpira , shida yangu ni kutaka mashabiki wajulishwe kwa game fulani inaonyeshwa na channel namba kadhaa , baasi
 
Duh....ZBC2 Chanel ya Misikiti [emoji848][emoji848]
98% ya vipindi vyake ni dini tu , sasa hili nalo mnataka kukataa ili iweje ? wala hilo silipingi bali ninachotaka kusema ni kwamba ni lazima Azam waseme game ipi inaonyeshwa wapi.

Kwa mfano Jana usiku kulikuwa na game ya ligi ya ufaransa ambayo Azam wanaonyesha , lakini taarifa zake nimezipata kupitia Instargram , wakati huohuo hiyo siku nzina nilikuwa naangalia channel za Azam tu lakini hakukuwa na habari za game hii.
 
Back
Top Bottom