Unajua;Tunakubali Simba tuko kifungoni ila Azam TV watakuwa wazalendo sana wakiweka sauti bandia za mashabiki ili kunogesha matangazo yao ya mechi hiyo.
Wenzetu huko walikoendelea ndiyo wanafanyaga pale mechi zinapochezwa bila mashabiki.
Magoli ya Ateba na Mpanzu (2) ya siku hiyo yanastahili kelele za mashabiki.
Hili sawa. Tena kuwe na VVIP (30,000/-), VIP-A (20,000/-), VIP-B (15,000/-) na mzunguko (5,000/-)Tuweke TV uwanja wa uhuru.Kiingilion elfu 5.
Na bia ziwepo + mziki.
Ahmed Ally alishasema watatangaza sehemu ya kuangalia ila sio Uhuru maana sheria za CAF hairuhusu umbali uliopo kati ya kwa mkapa na uhuru,bado kwa sheria za CAF uhuru ipo ndani ya umbali wa mita zisizoruhusiwaTuweke TV uwanja wa uhuru.Kiingilion elfu 5.
Na bia ziwepo + mziki.
Sidhani kama mechi itakuwa na mzuka kihivyo hasa baada ya kupata hiko kifungo na ukizingatia Simba imeshafuzu. Ingekuwa robo/nusu/fainali hapo sawa. Atatangaza sehemu zile zile wanazotangaza siku zote.Ahmed Ally alishasema watatangaza sehemu ya kuangalia ila sio Uhuru maana sheria za CAF hairuhusu umbali uliopo kati ya kwa mkapa na uhuru,bado kwa sheria za CAF uhuru ipo ndani ya umbali wa mita zisizoruhusiwa
Uwanja wa uhuru upo kwenye matengenezo haiwezekaniTuweke TV uwanja wa uhuru.Kiingilion elfu 5.
Na bia ziwepo + mziki.
Sawa meneja wa uwanjaUwanja wa uhuru upo kwenye matengenezo haiwezekani
Ameandika ili utimie unabii wa Aden Rage aliponena kwa kinywa chake kwamba baadhi ya Wanachama ni Mbumbumbu.Mbumbumbu bana! alie waambia Azam anahusika kwenye production mechi za CAF ni nani?
Unakuta mtu kakaa kabisa amepijipinda kibyongo ana andika thread Kamal hiiAmeandika ili utimie unabii wa Aden Rage aliponena kwa kinywa chake kwamba baadhi ya Wanachama ni Mbumbumbu.
😀Huyo mechi mtaitaza bila mashabiki kama mnataza porno