Azam TV jiongezeni mtuwekee sauti bandia za mashabiki mechi ya Simba vs Constantine

Azam TV jiongezeni mtuwekee sauti bandia za mashabiki mechi ya Simba vs Constantine

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Tunakubali Simba tuko kifungoni ila Azam TV watakuwa wazalendo sana wakiweka sauti bandia za mashabiki ili kunogesha matangazo yao ya mechi hiyo.

Wenzetu huko walikoendelea ndiyo wanafanyaga pale mechi zinapochezwa bila mashabiki.

Magoli ya Ateba na Mpanzu (2) ya siku hiyo yanastahili kelele za mashabiki.
 
Unajua;
1. Azam hawatataka kujihusisha na kuboresha madhara ya kuvunja viti taifa.
2. Azam hawatataka kuudanganya uma kuwa kuna sauti uwanjani za wavunja viti
 
Unajua;
1. Azam hawatataka kujihusha na kuboresha madhara ya kuvunja viti taifa.
2. Azam hawatataka kuudanganya uma kuwa kuna sauti uwanjani za wavunja viti
Ngoja tupate hizo video, tutaweka sauti wenyewe za mashabiki
 
Ahmed Ally alishasema watatangaza sehemu ya kuangalia ila sio Uhuru maana sheria za CAF hairuhusu umbali uliopo kati ya kwa mkapa na uhuru,bado kwa sheria za CAF uhuru ipo ndani ya umbali wa mita zisizoruhusiwa
Sidhani kama mechi itakuwa na mzuka kihivyo hasa baada ya kupata hiko kifungo na ukizingatia Simba imeshafuzu. Ingekuwa robo/nusu/fainali hapo sawa. Atatangaza sehemu zile zile wanazotangaza siku zote.
 
Saudi Arabia wanaweka sauti bandia kwenye match zao, it's the stupidest thing ever.
 
Back
Top Bottom