Azam TV Kipindi Maalum Cha Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Jaffar Mponda na Mohamed Said Leo Usiku Saa Tatu

Azam TV Kipindi Maalum Cha Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Jaffar Mponda na Mohamed Said Leo Usiku Saa Tatu

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU

Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953.
Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953.
Mwandishi kulia akiwa nje ya Buckingham Palace 1992.

1662994501378.png

1662994546183.png
1662994607789.jpeg

Buckingham Palace 1992​
 
Hukawii kusema Malkia elizabeth alislimishwa
Randy...
Inawezekana labda kwa kukosa kutambuana ukadhani kuwa unaweza ukanidhihaki.
Ikiwa lipo jina lakini kwa sababu hii au ile wanahistoria waliotangulia wakawa hawalitaji au kuna historia lakini kwa sababu moja au nyingine ikawa haiandikwi, mimi huona nina wajibu wa kuifahamisha jamii kile wasichojua.

Hii haiwezi kuwa ''hukawii.''

Jana kipindi cha Zumari kuhusu Malkia Elizabeth kilirushwa na baada ya kipindi baadhi ya watazamaji wameniandikia.

Watazamaji wanasema wamefaidika na baadhi ya mambo niliyoeleza.

Wengi hawakuwa wanajua kuwa uongozi wa TAA 1953 President alikuwa Julius Nyerere na Vice President Abdul Sykes.

Lakini kilichowashangaza sana ni jina la Secretary General wa TAA Dome Okochi Budohi mzalendo kutoka Kenya.

Niko hapa kusomesha siko hapa kufanya mchezo.
 
Back
Top Bottom