Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo!
ikumbukwe AzamTv huonyesha pia Bundesliga, NBC Premier League, FA Cup na Carabao cup.
Mashabiki wengi wa soka nchini wangependa kuona siku moja Azam ikirusha ligi pendwa ya EPL lakini kwa mwendo huu sio haba!
Kwahyo kuanzia kesho jiandae kuangalia Ligue 1 ukiwa sebuleni kwako!