Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wewe makolo FC .Mimi nimeanza kufuatilia ligi za nje ya Tanzania mwaka 2007. Na nilikuwa na mshikaji shabiki kindakindaki wa Chelsea. Nikajikuta na mimi nimeanza kuishabikia Chelsea. Baadaye nikaipenda pia Real Madrid. Hizo ndo timu zangu pendwa nje ya nchi. Lakini pia nazifuatilia kwa ukaribu timu za Liverpool, Manchester City Manchester United na Barcelona.
Kwa hapa Bongo huniambii kitu kuhusu Mnyama anaeogopwa sana mwituni SIMBA. Hii timu nieanza kuifuatilia tangu miaka ya 80 huko nikiwa kijana mdogo. Enzi hizo tukkita TAIFA KUBWA.........
Dstv analipa bilioni 500 kwa mwaka Kuonesha EPL, Hata dstv akiondoka Azam hana Ubavu wa kulipa hio hela.EPL hawawezi kupewa kirahisi waonyeshe Tz tu...Dstv kashika SSA na hawatoweza kucheza kiboya hapo.
League 1 ina migogoro sasa hivi na leseni imeuzwa bei ya kutupa, canal kauziwa asilimia 20 ya mechi kwa euro 330M na amazon wameuziwa asilimia 80 kwa euro 275M, Canal wame mind sana, na hilo deal ni dogo sana ndio maana tv ndogo kama Azam zinaweza ku Afford.Ligue 1 ilikuwa inaonyeshwa toka muda mrefu na ESPN issue ilikuwa ili uipate ESPN ni lazima ulipie kifurushi cha juu.
Na kuhusu kuonyesha EPL sidhani kama ni leo au kesho
We jamaa bhana...una timu kama buku na ushee..Mimi nimeanza kufuatilia ligi za nje ya Tanzania mwaka 2007. Na nilikuwa na mshikaji shabiki kindakindaki wa Chelsea. Nikajikuta na mimi nimeanza kuishabikia Chelsea. Baadaye nikaipenda pia Real Madrid. Hizo ndo timu zangu pendwa nje ya nchi. Lakini pia nazifuatilia kwa ukaribu timu za Liverpool, Manchester City Manchester United na Barcelona.
Kwa hapa Bongo huniambii kitu kuhusu Mnyama anaeogopwa sana mwituni SIMBA. Hii timu nieanza kuifuatilia tangu miaka ya 80 huko nikiwa kijana mdogo. Enzi hizo tukkita TAIFA KUBWA.........
Farmers league.Hongera ila hiyo ligi haina msisimko hata kidogo
Amazon prime tv 80pc??..hawa jamaa wanakuja kwa kasi huku kwenye football..EPL napo wamechukua asilimia chache..kuna games wanakuwa na exclusivity kwa UK.League 1 ina migogoro sasa hivi na leseni imeuzwa bei ya kutupa, canal kauziwa asilimia 20 ya mechi kwa euro 330M na amazon wameuziwa asilimia 80 kwa euro 275M, Canal wame mind sana, na hilo deal ni dogo sana ndio maana tv ndogo kama Azam zinaweza ku Afford.
Canal si wafaransa wenzao wameshindwa hata kuwapendelea,,daag pesa kitu kingine.League 1 ina migogoro sasa hivi na leseni imeuzwa bei ya kutupa, canal kauziwa asilimia 20 ya mechi kwa euro 330M na amazon wameuziwa asilimia 80 kwa euro 275M, Canal wame mind sana, na hilo deal ni dogo sana ndio maana tv ndogo kama Azam zinaweza ku Afford.
Na pia kuna channels za Dstv zipo Canal+ ili kuzipata unatakiwa kulipia ziada ya 40,000 ile ya kifurushi cha mpira cha kawaida.Sasa ninunue Dishi la azam, niliwauliza Dstv kuhusu hii ligi ya ufaransa wakaniambia unaweza kuangalia lakini kwa malipo ya ziada na hii ni kwa wateja wa kifurushi cha compact na kuendelea, Yaani kama unalipa shs 51,000/= ya kifurushi cha compact, utatakiwa uongeze shs 91,000/= ili channel ya Canal ambayo inaonesha ligi hiyo iweze kufunguliwa kwenye dishi la Dstv.
Waache wachukue tutatumia vpn tu,Amazon prime tv 80pc??..hawa jamaa wanakuja kwa kasi huku kwenye football..EPL napo wamechukua asilimia chache..kuna games wanakuwa na exclusivity kwa UK.
Ndo hapo walipobugi, huenda mwakani hali ikawa mbaya zaidi, maana Amazon kachukua miaka mingi, huyo atakae renew asilimia 20 atataka na yeye alipe kidogo.Canal si wafaransa wenzao wameshindwa hata kuwapendelea,,daag pesa kitu kingine.
Supersport channels au gani mkuu ambazo zipo Canal??Na pia kuna channels za Dstv zipo Canal+ ili kuzipata unatakiwa kulipia ziada ya 40,000 ile ya kifurushi cha mpira cha kawaida.
Kuna channels za EPL na La Liga,pia kuna movies na cinemas. Halafu kuna Europe League ambayo kwasasa Canal hawana leseni ya kuonyesha.Supersport channels au gani mkuu ambazo zipo Canal??