Azam tv kuonyesha Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kuanzia kesho

Azam hamna cha kuwapongeza hapo maana wanarukia tu lakini hawaonyeshi mechi zote ,angalia tu bundasliga hawaonyeshi mechi zote
 
Kwa kuonyesha ligi za kipuuzi jamaa hawajambo
 
Labda nifafanue kidogo. Hizo timu nilizoandika kuwa nazifuatilia- sio kwamba nazifuatilia kwa maana ya kuzishabikia. Nazifuatilia kwa maana ya kuona hazipati matokeo mazuri kuzidi timu ninazozishabikia za Chelsea na Real Madrid. Nadhani mpaka hapo utakuwa umenipata....
We jamaa bhana...una timu kama buku na ushee..
 
Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo!

tukumbuke tu, tunaelekea mwezi wa nne huu Messi bado ameshindwa kuona nyavu ndani ya Ligue 1
 
Siku wakionyesha Epl na UEFA ndo watapata wateja
 
Wanakimbilia ulaya wakati bongo tuu bado kuna wapa changamoto kuanzia graphic, marudio ya picha uwanjani, watangazaji ni kama wanaropoka na kutaja majina hovyo hovyo wajifunze.
 
Nasubiri kwa hamu waoneshe ligi ya england

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar tuna raha sana kwenye kutazama hizi ligi za ulaya, elfu 10 tu naangalia ligi zote kubwa...Epl, ligue 1, serie A, Laliga, Eredevisie nk
 
Zanzibar tuna raha sana kwenye kutazama hizi ligi za ulaya, elfu 10 tu naangalia ligi zote kubwa...Epl, ligue 1, serie A, Laliga, Eredevisie nk
Kwa king'amuzi gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…