Azam TV kupewa kuonyesha mashindano ya Club Bingwa Africa na Shirikisho kupitia FTA(ZBC2) je hii channel itakuwa free bila kulipia kwenye decoder zao?


Azam hata misimu iliyopita mechi za caf anaoneshea ZBC2
 
Lipia wewe, kama umeshindwa uzaaaa
 
Mechi zitaoneshwa kupitia ZBC2 na UTV tena kwa muonekano ang'avu kwa watumiaji wa visumbuzi vya dish
 
Hiyo channel kabla ujio wa Azam TV ulikuwa inaonyesha mpira free kabisa,baada ya Azam kuja wakaiteka hiyo Channel nakuifanya ni Channel yao,siku hizi match nyingi hiyo channel inaamishwa na kuwekwa kwenye kundi la kulipia.
 
ni kweli lakini sio bure bila kulipia kifurushi hiyo ZBC 2 haifunguki ng'o
Wanabisha kitu kilicho dhahiri,match wanazoachaga free ni zile za timu za Haifa tuu. Azam waimeteka hii channel nakuingiza kwenye Pay TV
 
Baada ya ujio wa Azam ndio imekuwa hivyo but before tulikuwa tunaangalia matches zote free.

Media ya ZBC sio mali ya azam inamilikiwa na Serikali ya zanzibar

ZBC kwa kirefu ni Zanzibar Broadcasting Corporation.

Ni sawa sawa na TBC kwa tanzania bara.

Caf huwa wanawapa TV za taifa haki za kuonesha mechi bure
 
huwa wanaweza ZBC2 ambayo ni ya mafundisho ya kiislam wakiamini watu wakimaliza mpira wataizoea hiyo channel ili wapate mafundisho ya mood. kwa bahati mbaya, kwa hoja za kusikiliza tu hakuna mtu anaweza kusilimu. uislam unajulikana ulivyo, watu wanacheki boli wakimaliza wanachenji fasta. mngelikuwa na matendo mema, ya upendo, yasiyo ya ukatili, watu wangeifuata dini yenu, sio kwa tactics za aina hii. ona mnavyohangaika sasa.
 
Hiyo channel kabla ujio wa Azam TV ulikuwa inaonyesha mpira free kabisa,baada ya Azam kuja wakaiteka hiyo Channel nakuifanya ni Channel yao,siku hizi match nyingi hiyo channel inaamishwa na kuwekwa kwenye kundi la kulipia.
kusema eti hiyo channel azam wameiteka sio sahihi vp kama hao ZBC2 ambayo ilikuwa inaonekana zanzibar tu ndio wametaka au wana makubaliano na azam kwa lengo la kujitanua waonekane mbali zaidi kupitia azamtv kama ilivyo wasafi tv au ww unatafsiri kwamba channel zote zinazo onekana azamatv ni mali ya azam.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…