Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Status
Not open for further replies.

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani!

Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
 
Usiwalaumu sana kuna suala la haki za matangazo na mikataba

kuvipata hivyo sio kitonga mkuu
 
Mashindano makubwa kama afcon hawaangalii mzigo tuu unaowekwa. Kigezo cha kwanza ni coverage ya mrusha matangazo ili kuwa impress sponsors. Sasa azam media coverage yake ni ndogo sana ukilinganisha na dstv ambao ni wababe kusini mwa jangwa la sahara
 
Mashindano makubwa kama afco hawaangalii mzigo tuu unalwekwa. Kigezo cha kwanza ni coverage ya mrusha matangazo ili kuwa impress sponsors. Sasa azam media coverage yake ni ndogo sana ukilinganisha na dstv ambao ni wababe kusini mwa jangwa la sahara
Mzigo unamata acha ubishi
 
Na tulio na ving'amuzi tumenunua kwa ajili ya ligi kuu,kwa style hii DSTV wataendelea kutukimbiza kwa vifurushi ,huwezi kuamini bongo tu vifurushi vya dstv ndo ghali Ila kwa nchi zingine bei kama za Azam tu
Me ninayo DStv japo kifurushi changu nicha bomba cha sh/= 2100 Kuna mechi za laliga na ligi kuu ya wingereza na calabao cup hua nazicheki sana tu niliona nibora kucheki mechi za NBC kwenye mabanda ili kupata vibe kwakuw mechi nyingi huonyeshwa mchana na jion .. ila laliga utakuta saa nne usiku ..hua na chill zangu ghetto nazicheki nikisinzia kabla game aijaisha najitupa jitandan imeishaa iyo .. ukiwa Bado kijana nibora ukachagua DStv kuliko Azam .. kiukwel

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
I mean 21000

Back
Top Bottom