Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Waongo awa watu hawaoneshi game zote, leo kuna game ya morocco na ghana ila hapo sijaona channel gani wanaonesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekariri mkuu. Mechi zinaoneshwa zote tena bure kabisaWaongo awa watu hawaoneshi game zote, leo kuna game ya morocco na ghana ila hapo sijaona channel gani wanaonesha
Mkuu kiinglish kinapanda lakini [emoji3][emoji3]
Wengine tunapenda Azam kwasababu ya lugha yetu adhimu ya kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ume
Kariri mkuu. Mechi zinaoneshwa zote tena bure kabisa
Asante Nyamizi nitajaribu maana niliacha kuangalia Mpira kombe la Africa enzi za kina Roger Milla sijui ni 1984, Azam nikilipa 35,000 nikigombania na watoto remote napata ID, Discover na filamu ndio maana kweli ZBC 2 hawana HD
Acha ninunue DSTV leo, je fainal zikiisha Wana vipindi vizuri km ligi NBC?
Sasa EPL si ndo kila kitu??Dstv nae ni EPL ukitoa hivyo hapa bongo hana jipya
Hao ndo Azam mkuu 🤣 🤣 , full disappointments.Waongo awa watu hawaoneshi game zote, leo kuna game ya morocco na ghana ila hapo sijaona channel gani wanaonesha
Hili la local channels naona kama litakuwa sorted karibuni,Wewe na mimi tunashare Interest kwenye kuangalia Crime Documentaries na hii ndiyo inanifanya niwe mtumwa wa Dstv,nalazimika kulipia package ambayo nitapata channels zote za Crime kama ID,CBS Justice,CI,Lifetime na nyinginezo.Kwa Channels zote za Supersport ni HD,ubaya wao ni mmoja tu,hawaonyeshi ligi ya NBC wala hawana local channels za ITV,Clouds na hiyo Azam,So kwenye taarifa ya habari utalazimika kuangalia TBC1 peke yake[emoji18].
Ligi ya NBC ni Azam pekee mwenye haki ya kuonyesha Tanzania i think.Asante Nyamizi nitajaribu maana niliacha kuangalia Mpira kombe la Africa enzi za kina Roger Milla sijui ni 1984, Azam nikilipa 35,000 nikigombania na watoto remote napata ID, Discover na filamu ndio maana kweli ZBC 2 hawana HD
Acha ninunue DSTV leo, je fainal zikiisha Wana vipindi vizuri km ligi NBC?
Hili la local channels naona kama litakuwa sorted karibuni,
ZBC2Waongo awa watu hawaoneshi game zote, leo kuna game ya morocco na ghana ila hapo sijaona channel gani wanaonesha
sijajua Bei ya DSTV kupata na hizo Documentary, bado nipo Njia panda kati ya hizo ligi za UK nk na niwaachie watoto Azam ya NBC, Vitasa na CloudsLitakuwa jambo jema sana,nilishasahau hata taarifa za ITV zikoje.Uzuri muda wa taarifa watoto wanakuwa wanaangalia Cartoon zao hata huwa sihangaiki na TBC.Bora warudishe local channels hasa ITV.
Inaoneshwa Azam tv channel 108 UTVGame ya morocco na ghana inaoneshwa channel gani?
sijajua Bei ya DSTV kupata na hizo Documentary, bado nipo Njia panda kati ya hizo ligi za UK nk na niwaachie watoto Azam ya NBC, Vitasa na Clouds
Ebwana ulipata wapi canal42,500 kwa mwezi
Kifurushi cha bei gan mkuuAsante sana sihami Azam acha burudani iendelee saa hizi nipo UTV Morocco na Ghana na Azam 2HD Simba na Namungo bado weongeza Azam 3HD
View attachment 2076197
View attachment 2076205