Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Status
Not open for further replies.
Ukitoa DSTV, king'amuzi kinachofuata kwa kuonyesha mashindano mengi ya Football ni Startimes Tena kwa HD ya ubora, wanaonyesha Bundasiliga, Laliga, Chinese super league, Copa Italia, Euro world Cup qualify, Asia world Cup qualify, Euro, Word cup, kwa upande wa Africa wanaonyesha ligi ya Kenya na Uganda Na pia wametangaza kwamba wataonyesha AFCON mechi zote 52
Umesahau Ueropa league pia a.k.a Futuhi
 
DSTV ofa nyingi kweli usipolipia unapewa ofa unalipa Tshs 21,000 kwa miezi miwili au 31,000 unapandishwa Compact
 
Wanaonesha bana,mechi zote.
Screenshot_20220108-175749.jpg
 
Ndio huwa wanatangaza hivyo hata mwaka jana euro 2020, kombe la dunia, lakini unakuta sio kweli, unakuta wana haki ya kuonyesha lakini sio mechi zote, michuano ikishaanza tu, kuna baadhi ya mechi hawaonyeshi!!labda kama waanze kwa muchuano hii,
Ni kweli jamaa wababaishaji sana, watajisifu mechi zote live lakini mashindano yakianza wanachagua mechi
 
Tuwape muda.
Kikubwa Azam wamesema wataonyesha mechi zote, sasa tusubiri.
Ni kweli tunawapa muda lakini kutokana na uzoefu tulionao hakuna hata mashindano ya euro, world cup na afcon ambayo walishawahi kuonyesha mechi zote za mashindano.labda waanze sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom