Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Usiwalaumu sana kuna suala la haki za matangazo na mikatabaKuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani!
Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
Sawa lakini azam kama anashindwa kuonesha uefa walau afcon alitakiwa aoneshe yaani aweke mzigo apate haki za matangazoUsiwalaumu sana kuna suala la haki za matangazo na mikataba
kuvipata hivyo sio kitonga mkuu
HAPO KWENYE MZIGO NDIO KIPENGELE MASTASawa lakini azam kama anashindwa kuonesha uefa walau afcon alitakiwa aoneshe yaani aweke mzigo apate haki za matangazo
Kwanini iwe kitonga? Walipe pesa waoneshe na sisi si tunawalipa? Kama hawaoneshi nitalipia dstv maana niliwahama Kwanza.Usiwalaumu sana kuna suala la haki za matangazo na mikataba
kuvipata hivyo sio kitonga mkuu
Startimes naonaaa wanapigaa promo sanaa kuwaa Wataionyeshaa hii michuanoo,,,,Kwanini iwe kitonga? Walipe pesa waoneshe na sisi si tunawalipa? Kama hawaoneshi nitalipia dstv maana niliwahama Kwanza.
AFCON ITAONESHWA DSTV TU BORA ULIPIEEKwanini iwe kitonga? Walipe pesa waoneshe na sisi si tunawalipa? Kama hawaoneshi nitalipia dstv maana niliwahama Kwanza.
Kifurush cha shs ngapi???AFCON ITAONESHWA DSTV TU BORA ULIPIEE
sijapata uhakika bado...Kifurush cha shs ngapi???
Nalipia.AFCON ITAONESHWA DSTV TU BORA ULIPIEE
Mzigo unamata acha ubishiMashindano makubwa kama afco hawaangalii mzigo tuu unalwekwa. Kigezo cha kwanza ni coverage ya mrusha matangazo ili kuwa impress sponsors. Sasa azam media coverage yake ni ndogo sana ukilinganisha na dstv ambao ni wababe kusini mwa jangwa la sahara
gooodNalipia.
Tunaipondaga tu Dstv lakini hakuna king'amuzi cha kushindana na Dstv full stopgoood
Tunaipondaga tu Dstv lakini hakuna king'amuzi cha kushindana na Dstv full stop
Na tulio na ving'amuzi tumenunua kwa ajili ya ligi kuu,kwa style hii DSTV wataendelea kutukimbiza kwa vifurushi ,huwezi kuamini bongo tu vifurushi vya dstv ndo ghali Ila kwa nchi zingine bei kama za Azam tuAZAM ukimuondolea NBC Premier League anakuwa katepeta
Me ninayo DStv japo kifurushi changu nicha bomba cha sh/= 2100 Kuna mechi za laliga na ligi kuu ya wingereza na calabao cup hua nazicheki sana tu niliona nibora kucheki mechi za NBC kwenye mabanda ili kupata vibe kwakuw mechi nyingi huonyeshwa mchana na jion .. ila laliga utakuta saa nne usiku ..hua na chill zangu ghetto nazicheki nikisinzia kabla game aijaisha najitupa jitandan imeishaa iyo .. ukiwa Bado kijana nibora ukachagua DStv kuliko Azam .. kiukwelNa tulio na ving'amuzi tumenunua kwa ajili ya ligi kuu,kwa style hii DSTV wataendelea kutukimbiza kwa vifurushi ,huwezi kuamini bongo tu vifurushi vya dstv ndo ghali Ila kwa nchi zingine bei kama za Azam tu
I mean 21000Me ninayo DStv japo kifurushi changu nicha bomba cha sh/= 2100 Kuna mechi za laliga na ligi kuu ya wingereza na calabao cup hua nazicheki sana tu niliona nibora kucheki mechi za NBC kwenye mabanda ili kupata vibe kwakuw mechi nyingi huonyeshwa mchana na jion .. ila laliga utakuta saa nne usiku ..hua na chill zangu ghetto nazicheki nikisinzia kabla game aijaisha najitupa jitandan imeishaa iyo .. ukiwa Bado kijana nibora ukachagua DStv kuliko Azam .. kiukwel
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app