Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Status
Not open for further replies.
Afcon ina mvuto? Afcon ilikuwa zamani sio sasa
 
Na tulio na ving'amuzi tumenunua kwa ajili ya ligi kuu,kwa style hii DSTV wataendelea kutukimbiza kwa vifurushi ,huwezi kuamini bongo tu vifurushi vya dstv ndo ghali Ila kwa nchi zingine bei kama za Azam tu
Na dstv wanakimbiza nchi nyingine tu ila kwa bongo wanapumulia mashine wana hali mbaya balaa, imefikia hatua azam anamzidi mara mbili bei ya king'amuzi
 
Na dstv wanakimbiza nchi nyingine tu ila kwa bongo wanapumulia mashine wana hali mbaya balaa, imefikia hatua azam anamzidi mara mbili bei ya king'amuzi
mkuu labda unazungumzia dishi ,kwa dishi sawa Ila kwa vifurushi vya mpira dstv wana bei
 
Azam kila kitu wanafanya nusu nusu,nina king'amuzi chao kwa ajili ya ligi kuu ya Tanzania ,ila hata bundasliga wanayojisifia hawaonyeshi mechi zote
Sasa hivi wanataka kuleta chaneli ya 3 ya michezo kwajili ya kukava michezo mingi lakini bado
 
Sasa hivi wanataka kuleta chaneli ya 3 ya michezo kwajili ya kukava michezo mingi lakini bado
wangetulia na kimoja kwa ufanisi ,ligi kuu sawa ,Ila hizi ligi za nje ratiba hazieleweki,Mara waonyeshe za Belgium Mara bundasliga wanarukia rukia tu
 
Na dstv wanakimbiza nchi nyingine tu ila kwa bongo wanapumulia mashine wana hali mbaya balaa, imefikia hatua azam anamzidi mara mbili bei ya king'amuzi
Unaangalia Bei ya king'amuzi TU?au malipo ya mwezi?acha uboya...Kama huijui DSTV kanywe MIRINDA KWA MANGI MWAMBIE AKUPE NA CHUPA UENDE NAYO
 
Unaangalia Bei ya king'amuzi TU?au malipo ya mwezi?acha uboya...Kama huijui DSTV kanywe MIRINDA KWA MANGI MWAMBIE AKUPE NA CHUPA UENDE NAYO
Usilazimishe kila mtu ajue uchoko wako, nimesema bei ya ving'amuzi hayo ya vifurushi uyaseme wewe bila kuniquote, dstv hadi anafikiria kufunga oparesheni zake tz kwa taarifa yako, ving'amuzi anauza 59000 bado wateja shida maana hawamudu malipo ya mwezi sasa kama mteja hamudu malipo ya mwezi dstv atapona vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…