Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Status
Not open for further replies.
Mkuu ni busara sasa uka update Uzi wako maana Azam wataonesha hiyo michuano bure kabisa na Live
 
Mimi na wanangu tutabaki Azam na hizo me hi tutapitia ZBC kule itaoneshwa na watangazaji NI walewale wa Azam, Ile ni Nchi nyingine haifungamani na masharti ya star time na TBC Monopoly
 
TBC kashindwa kabisa kuonesha hata mechi moja moja
 
TBC kashindwa kabisa kuonesha hata mechi moja moja
 
Azam wanarusha kupitia UTV NA ZBC 2
Tumewaambia Azam ni baba lao ujakaza 20,000/ unapata mipira kibao Azam 1 &2 HD bado kuna ZBC kule Zenj hawana masharti na Startimes bado kuna UTV
wadihame Azam
 
Tumewaambia Azam ni baba lao ujakaza 20,000/ unapata mipira kibao Azam 1 &2 HD bado kuna ZBC kule Zenj hawana masharti na Startimes bado kuna UTV
wadihame Azam

Njoo Dstv kitu Supersports HD na wachambuzi mahiri Barani Africa,Unaanzaje kuangalia ZBC utadhani unaangalia TV enzi za miaka ya 2000 huko.
 
Njoo Dstv kitu Supersports HD na wachambuzi mahiri Barani Africa,Unaanzaje kuangalia ZBC utadhani unaangalia TV enzi za miaka ya 2000 huko.
Asante Nyamizi nitajaribu maana niliacha kuangalia Mpira kombe la Africa enzi za kina Roger Milla sijui ni 1984, Azam nikilipa 35,000 nikigombania na watoto remote napata ID, Discover na filamu ndio maana kweli ZBC 2 hawana HD
Acha ninunue DSTV leo, je fainal zikiisha Wana vipindi vizuri km ligi NBC?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…