Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

Status
Not open for further replies.

Wewe na mimi tunashare Interest kwenye kuangalia Crime Documentaries na hii ndiyo inanifanya niwe mtumwa wa Dstv,nalazimika kulipia package ambayo nitapata channels zote za Crime kama ID,CBS Justice,CI,Lifetime na nyinginezo.Kwa Channels zote za Supersport ni HD,ubaya wao ni mmoja tu,hawaonyeshi ligi ya NBC wala hawana local channels za ITV,Clouds na hiyo Azam,So kwenye taarifa ya habari utalazimika kuangalia TBC1 peke yake[emoji18].
 
Hili la local channels naona kama litakuwa sorted karibuni,
 
Ligi ya NBC ni Azam pekee mwenye haki ya kuonyesha Tanzania i think.
 
Hili la local channels naona kama litakuwa sorted karibuni,

Litakuwa jambo jema sana,nilishasahau hata taarifa za ITV zikoje.Uzuri muda wa taarifa watoto wanakuwa wanaangalia Cartoon zao hata huwa sihangaiki na TBC.Bora warudishe local channels hasa ITV.
 
Litakuwa jambo jema sana,nilishasahau hata taarifa za ITV zikoje.Uzuri muda wa taarifa watoto wanakuwa wanaangalia Cartoon zao hata huwa sihangaiki na TBC.Bora warudishe local channels hasa ITV.
sijajua Bei ya DSTV kupata na hizo Documentary, bado nipo Njia panda kati ya hizo ligi za UK nk na niwaachie watoto Azam ya NBC, Vitasa na Clouds
 
sijajua Bei ya DSTV kupata na hizo Documentary, bado nipo Njia panda kati ya hizo ligi za UK nk na niwaachie watoto Azam ya NBC, Vitasa na Clouds

Kuanzia Package ya Compact = 51,000 kwenda juu unapata documentary za Crime na Channels karibu zote za Supersport,sina uhakika na Package ya Family ile ya 31,000 kama ina documentary zote.Katika hizi Package kuanzia hiyo ya Compact bado watoto pia watafaidi sana,channels zote 14 za Cartoon zipo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…