Azam tv kuweni serious mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno

Azam tv kuweni serious mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno

Sio Azam tu yani karibia kila sources zinazoonesha hii mechi hakuna yenye Quality nzuri.

Sehemu nyingine ndio hata sauti hamna ngoma inapigwa kibubu bubu
Itakuwa wote wanachukua kwenye source moja
 
Niko kibandaumiza hapa nacheki hiyo game kupitia chaneli inaitwa RTNC, iko fresh HD
Sitaki kuamini kabisa kama hiki kinachooneshwa na RTNC kwako unaona ipo sawa. Hakuna cha HD wala nini halafu inavyostaki staki sasa
 
Back
Top Bottom