MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Nchi yetu kibiashara bado sana.Yaani bongo population ni kubwa lakini hamna biashara za ushindani yaani unashangaa hadi media kubwa hazina matangazo yakuwafanya waendeshe vituo vyao kwa faida kubwa na kwa ubora..wanafika kujilizaliza kuomba matangazo.
Hakuna stiff competition kabisa.
Mkuu tenda ilikuwa wazi, labda kama siyo mfuatiliaji
Hizo ni pesa mkuu, huwezi kuzitupa kama vile unapanda ma-apple hapa bongo. Kama hakuna mazingira mazuri hata kama ningekuwa mimi ningesubiri tu. Au kwa akili zako unadhani matajiri kama Bakhresa na Mo hawaumii wakipoteza pesa?Hivi Mo akiona huu mkataba wa bil. 225 anajisikiaje yeye anaposhindwa kutoa bil. 20? [emoji23][emoji23]
Kama mimi tu.
Aboreshe na viwanja vyetu jamani pitch mbovu sana...Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6.
Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya thamani ya soka ya Tanzania kuongezeka.
BINGWA WA VPL kwa misimu mitatu ijayo, atapata TSH MIL 500 kama 'Bonus' kutoka Azam TV
Pia
Mshindi 2: Tsh Mil 250
Mshindi 3: Tsh Mil 225
Mshindi 4: Tsh Mil 200
Hilo wameliona Azam. Ndiyo maana ya miaka kumi. Ni mingi sana. Angalau mitano sio mbaya.Ishu sio udogo wala ukubwa
Ishu miaka 10?
DStv akija na ofa mara tatu ya hiyo baaada ya miaka 5 hawawezi vunja mkataba?
Hilo wameliona Azam. Ndiyo maana ya miaka kumi. Ni mingi sana. Angalau mitano sio mbaya.
Muda mrefu baada ya Msomali kuondoka TFF, mkataba bado utakuwa valid.Halafu uhalali WA Ku saini miaka kumi unatoka wapi iwapo Viongozi wa TFF wanachaguliwa kila baada ya miaka mitatu??
Wewe kwa nini hujatoa hiyo Trion 1 au hata mil.5 hunaHela ndogo sana hiyo...miaka 10, at least ingekuwa Trilion 1.
Hizo gharama kwani ni wajibu wa azam kulipia hizo gharama zinazoongezeka?Pesa ndogo sana hiyo mkuu.. gharama zinaongezeka kila mwaka..