Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

Dcxkobe

Member
Joined
Mar 5, 2023
Posts
57
Reaction score
136
Sorry nauliza mechi za UEFA kwenye king’amuzi cha Azam TV huwa wanaonesha Chanel namba ngapi?
 
Basi tupeni hata jina la application au link kwa wale wa kustream online maana dstv bila 99k huoni game hii.
 
Download Yaccine TV
Utaona mechi zote hadi mechi za Caf Confederation na CAf Champions league
Basi tupeni hata jina la application au link kwa wale wa kustream online maana dstv bila 99k huoni game hii.
 
Nilishaleta uzi humu wa njia rahic ya kuchek mipira...mm nanasa channel zote za DSTV za michezo kwa tsh 15000 tu kwa mwezi!!

Unachotakiwa kufanya ni kuandaa lak 2 na 50 ya decoder(ya kichina) na dish lako la DSTV basi
Mkuu nahitaji msaada katika hili tafadhali
 
Nilishaleta uzi humu wa njia rahic ya kuchek mipira...mm nanasa channel zote za DSTV za michezo kwa tsh 15000 tu kwa mwezi!!

Unachotakiwa kufanya ni kuandaa lak 2 na 50 ya decoder(ya kichina) na dish lako la DSTV basi
Napataje huu mseleleko
 
Inafananaje hiyo Yaccine Tv ,nisaidie screenshot yake,nimegoogle zinakuja nyingi
Hoyo app haipo play store... search kwenye browser yako yaccine tv apk.
Ukishaipakua na kuinstall utaenda playstore na kudownload app inaitwa YTV player.

Baada ya hapo uje kutoa mrejesho hapa.
Screenshot_20230510-142849_One UI Home.jpg
 
Back
Top Bottom