Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

Sorry nauliza mechi za UEFA kwenye king’amuzi cha Azam TV huwa wanaonesha Chanel namba ngapi?
Nenda play store download (live sport)utaona mechi zote uefa, Europe lig, laliga,epl,ligi one ,bundesliga,World cup na mechi zote kimataifa

NB Michuano ya kiafrica bara la gizani hauwezi kuipata ktk app hiyo labda afcon tu
 
Umeisahau YACINE TV
 
Back
Top Bottom