Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

Yan nmefanya vyote lakin nikiplay inaload tu haiplay
Screenshot_20230510-151005_Yacine TV.jpg

Tuma screenshot ya hiyo Yaccine tv kabla haujaifungua
 
Hapo imekubali mkuu
Mechi ikianza ndipo zinaonyesha... muda huu jaribu kufungua mbc uangalie muvi kwa kiarabu😎
 
Nilishaleta uzi humu wa njia rahic ya kuchek mipira...mm nanasa channel zote za DSTV za michezo kwa tsh 15000 tu kwa mwezi!!

Unachotakiwa kufanya ni kuandaa lak 2 na 50 ya decoder(ya kichina) na dish lako la DSTV basi
Napata wapi hii decoder?
 
Kuna namna ya kubadili lugha ya commentator kwa yacinetv app? Maana sio kwa Kiarabu cha mtangazaji nachosikiaga.
 
Back
Top Bottom