Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

Nenda kaifungue app yako ya yacine tv... kumbuka kuruhusu kuinstall app from unknown sources ili uweze kuinstall app yako uliyoidownload kama apk.
Yan nmefanya vyote lakin nikiplay inaload tu haiplay
 

Attachments

  • 29_04_2023_02_46_28_pm.mp4
    2 MB
Hapo imekubali mkuu
Mechi ikianza ndipo zinaonyesha... muda huu jaribu kufungua mbc uangalie muvi kwa kiarabu😎
 
Nilishaleta uzi humu wa njia rahic ya kuchek mipira...mm nanasa channel zote za DSTV za michezo kwa tsh 15000 tu kwa mwezi!!

Unachotakiwa kufanya ni kuandaa lak 2 na 50 ya decoder(ya kichina) na dish lako la DSTV basi
Napata wapi hii decoder?
 
Hatari na ulaji wa mb upoje mb ngap unaweza chek mech full kwa quality nzur hata kama sio HD
Ndiyo mkuu unaset mwenyewe quality kutokana na bando lako... ukishakuwa unaangalia kitu husika gusa alama ya settings utaona kuna options za quality unayoihitaji.
 
Kuna namna ya kubadili lugha ya commentator kwa yacinetv app? Maana sio kwa Kiarabu cha mtangazaji nachosikiaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…