Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tamthilia inakwenda kulitambulisha na kulirasimisha hili jina la wahuni kwa kundi hili la wanajamii.Sio jina zuri. Hao watunzi wa hiyo tamthilia hawajachekecha vyema mbongo zao.
Hiyo ni kama vile baba zetu tunavowaita dingi, faza au mashua ukiwa kitaa lakini mkiwa nae unamwita baba na yeye anajua kua mwanangu ananiita baba.
Ndivo hivo hata kwa hao wadada, tukiwa kitaa na wana tunapiga story tunawaita beki 3 lakini sio vizuri yeye kuskia akiitwa ama kuskia watu wakimtambua kwa jina la ajabu namna hiyo. Dada wa nyumbani/Dada wa kazi au dada tu inatosha.
Hilo jina limesajiliwa BRELA na BAKITA? nani alilibuni? Amepata idhini?Familia hufananishwa na team ya mpira. Mama ni golikipa na baba always ni fowadi. Sasa kama mzee anaupiga mwingi, golikipa inabidi awe na beki 3 imara. Hapo ndipo mfanyakazi wa ndani anapojizolea umaarufu anapohakikisha golikipa hapati madhara. Ndio tukampa jina la beki 3 kwa umahiri wake. Nadhani mafowadi mmenielewa zaidi na sioni dharau kwenye hilo jina.
Ajitokeze haraka aseme neno, maana hii tamthilia kama itarushwa kwenye TV inaweza kusababisha mateso na mauaji kwa watoto majumbani. Maana watoto sasa hivi hawalijui hilo jina la dada yao, lakini baada ya tamthilia hii kurushwa hewani na kufika nchini nzima hata vijijini yafuatayo yanaweza kutokea,Yule mtetezi wa wanawake joyce kiria anasemaje?!
Sure mkuu umewaza mbali sie tunaacha watoto na hao wadada ndio tutaambulia maumivu wakati wao bongo movie na ukilaza wakiwa hawapo.Ajitokeze haraka aseme neno, maana hii tamthilia kama itarushwa kwenye TV inaweza kusababisha mateso na mauaji kwa watoto majumbani. Maana watoto sasa hivi hawalijui hilo jina la dada yao, lakini baada ya tamthilia hii kurushwa hewani na kufika nchini nzima hata vijijini yafuatayo yanaweza kutokea,
1. Watoto wataanza kumuita dada yao beki 3, hapo cha moto watakiona, mateso hata mauaji.
2. Azam inaonekana hata vijijini kwenye umeme wa sola wanakotoka hawa dada wa kazi, hivyo watagoma kufanya kazi za ndani tena na kusababisha watumishi kukosa watu wa kuwaachia watoto wao. Watashindwa kwenda kazini.
3. Bei/mishahara ya dada wa kazi itapanda sana kufidia unyanyasaji huu.
4. Dada wa kazi wataiba na kuondoka bila kuaga kwa hasira.
5. Itavunja morali wa dada kufanyakazi.
TuambiwKwahiyo mtu yeyoye anaebaki nyumbani kulinda nyumba na watoto hata kama ni mama yako mzazi anaitwa Beki 3?
Naona Toka umekosa nafasi ya kupewa scene umewehukaUkombozi wa mwanamke utaanzia hapa
Katuangusha sanaMwanaume wa Dar katika ubora wake wa kufuatilia tamthilia.wanaume wa mkoani tuendelee kuangalia movie za kina Jackie Chan za kutafsiriwa.
Daa! Mkuu ametuaibisha sana. Wengine hata tulikuwa hatujui kama kuna channel za aina hiyo.Mwanaume wa Dar katika ubora wake wa kufuatilia tamthilia.wanaume wa mkoani tuendelee kuangalia movie za kina Jackie Chan za kutafsiriwa.
Naunga mkono hoja, watafuta title nyingine, na sio lazima iwe mbadala wa jina hilo, bali imaweza ikawa kitu kingine kabisaUnyanyapaa ni kosa sawa na makosa mengine, hasa likifanywa na taasisi
Wafanyakazi wa ndani ni kundi kubwa sana kwenye jamii zetu, ambao kazi zao ni muhimu sana. Kazi Yao inawaingizia kipato lakini pia inasababisha utulivu mkubwa maofisini miongoni mwa watumishi wenye watoto wadogo nyumbani kwakuwa ndio wanaoachiwa kazi zote za kulea watoto, usafi, upikaji chakula, kufanya manunuzi na hata ulinzi wa mali za mabosi wao. Watu hawa wanastahiki kuheshimiwa kama watu wengine.
Faida nyingine ya watumishi wa ndani ndio wanaotumia umeme nyumbani mchana kutwa kuangalia TV na video na kusikiliza radio nyakati za mchana (faida kwa tanesco na serikali) wakati mabosi wao wako kwenye majukumu yao ya siku.
Pia wafanyekazi hawa ni ndio wadau wakubwa wa channel ya Azam tv ya Sinema zetu, watanunua kifurushi japo Cha wiki ili waangalie Sinema zetu. Hivyo ni faida kwa Azam media.
Hoja Iko hapa: Nasikia kuwa Kuna tamthilia inayokwenda kwa jina la Beki 3 inaenda kuonyeshwa kwenye channel ya Simema zetu Azam tv. Kama ni kweli jina hili la "Beki tatu" halileti heshima kwa jamii hii ya watumishi wa ndani. Jina hili ni kejeli kwa watumishi wa ndani, hivyo sio vizuri kutumika kwenye TV kubwa kama Azam tv.
Napinga jina/title lakini sipingi mafundisho/ujumbe yaliyomo kwenye hiyo tamthilia.
Mimi nitakuwa wa kwanza kwenda mahakamani kuuliza tafsiri ya Beki tatu, na kama ni sawa hawa watu kuitwa Beki 3 na Azam tv, wasanii na wadau wengine au la!.
Heshima ni kitu Cha bure.
Nawasilisha.
Mwanaume wa Dar katika ubora wake wa kufuatilia tamthilia.wanaume wa mkoani tuendelee kuangalia movie za kina Jackie Chan za kutafsiriwa.
Wanaume wa mkoani wilayani Tanganyika wanakula ugali na karanga mbichi huku wakiangalia movie za kutafsiriwa za war bus,the hard way, Commando,no retreat no surrender,first blood,blood moon,striker,above the law etcMkubwa hivi unaangalia movie za kutafsiriwa?
Mm movie zangu zote huwa na download. Napata ujumbe wa maudhui safi.
Movie za kutafsiriwa waachie watoto km utaangalia movie ya lugha tofauti na English tafuta subtitle
Wanaume wa mkoani wilayani Tanganyika wanakula ugali na karanga mbichi huku wakiangalia movie za kutafsiriwa za war bus,the hard way, Commando,no retreat no surrender,first blood,blood moon,striker,above the law etc
Na tukimaliza hapo tunaenda toi tunatawaza kwa kutumia gunzi,we endelea kutumia kale kabomba kujipiga pressure pale kwny Channel 0 mixer kutumia toilet paper huku ukitembea na mabaki ya mavi katikati ya makalio.Wenye hela zenu bana.Kweli wewe wa mkoani. Unajivunia kula karanga na ugali wakati ni masikini? Ugali na karanga ni kama matak kila mtu anayo.
Siku hizi watu wanajivunia kuwa na hela.
Movie za kutafsiriwa wanaangalia watoto na waliofeli shule tu
Mtafsiri alikuwa marehemu lufufi tu,hizi mbuzi zingine zinakera masikio tiMwanaume wa Dar katika ubora wake wa kufuatilia tamthilia.wanaume wa mkoani tuendelee kuangalia movie za kina Jackie Chan za kutafsiriwa.