Azam tv msirushe tamthilia yenye jina hili, mtakosea

Wewe ndiyo mvivu wa kufikiria, nenda katafute majukumu ya beki tatu. Watu wanapewa heshima kiasi hiki cha kupachikwa namba za wachezaji mpira lakini kwako ni tatizo.
 
Hii tamthilia inakwenda kulitambulisha na kulirasimisha hili jina la wahuni kwa kundi hili la wanajamii.

Nashauri hawa wasanii watafutwe, wahojiwe na wahukumiwe ili iwe fundisho kwa watu wengine kuhusiana na lugha mbaya na dharau kwa wanawake.
 
Hilo jina limesajiliwa BRELA na BAKITA? nani alilibuni? Amepata idhini?
 
Yule mtetezi wa wanawake joyce kiria anasemaje?!
Ajitokeze haraka aseme neno, maana hii tamthilia kama itarushwa kwenye TV inaweza kusababisha mateso na mauaji kwa watoto majumbani. Maana watoto sasa hivi hawalijui hilo jina la dada yao, lakini baada ya tamthilia hii kurushwa hewani na kufika nchini nzima hata vijijini yafuatayo yanaweza kutokea,

1. Watoto wataanza kumuita dada yao beki 3, hapo cha moto watakiona, mateso hata mauaji.
2. Azam inaonekana hata vijijini kwenye umeme wa sola wanakotoka hawa dada wa kazi, hivyo watagoma kufanya kazi za ndani tena na kusababisha watumishi kukosa watu wa kuwaachia watoto wao. Watashindwa kwenda kazini.
3. Bei/mishahara ya dada wa kazi itapanda sana kufidia unyanyasaji huu.
4. Dada wa kazi wataiba na kuondoka bila kuaga kwa hasira.
5. Itavunja morali wa dada kufanyakazi.
 
Sure mkuu umewaza mbali sie tunaacha watoto na hao wadada ndio tutaambulia maumivu wakati wao bongo movie na ukilaza wakiwa hawapo.
 
Mwanaume wa Dar katika ubora wake wa kufuatilia tamthilia.wanaume wa mkoani tuendelee kuangalia movie za kina Jackie Chan za kutafsiriwa.
Daa! Mkuu ametuaibisha sana. Wengine hata tulikuwa hatujui kama kuna channel za aina hiyo.
Kumbe hata vifurushi vyake wananunua mahausigeli na watoto wa shule? Asanteni sana kwa taarifa!
Sasa Niko updated!
 
Hiyo tamthilia inahusu mpira wa miguu yaani beki wa kushoto au mlinzi wa kushoto Mohamed Hussein au Gadiel michael.
 
Naunga mkono hoja, watafuta title nyingine, na sio lazima iwe mbadala wa jina hilo, bali imaweza ikawa kitu kingine kabisa
 
Mkubwa hivi unaangalia movie za kutafsiriwa?
Mm movie zangu zote huwa na download. Napata ujumbe wa maudhui safi.
Movie za kutafsiriwa waachie watoto km utaangalia movie ya lugha tofauti na English tafuta subtitle
Mwanaume wa Dar katika ubora wake wa kufuatilia tamthilia.wanaume wa mkoani tuendelee kuangalia movie za kina Jackie Chan za kutafsiriwa.
 
Usikute hii tamthilia ya beki 3 ndio itakua tamthilia pendwa ya wadada wa kazi, yaani binti anajitahidi kufanya kazi zake fastafasta ili asipitwe kuangalia uhondo wa beki3.
 
Mkubwa hivi unaangalia movie za kutafsiriwa?
Mm movie zangu zote huwa na download. Napata ujumbe wa maudhui safi.
Movie za kutafsiriwa waachie watoto km utaangalia movie ya lugha tofauti na English tafuta subtitle
Wanaume wa mkoani wilayani Tanganyika wanakula ugali na karanga mbichi huku wakiangalia movie za kutafsiriwa za war bus,the hard way, Commando,no retreat no surrender,first blood,blood moon,striker,above the law etc
 
Kweli wewe wa mkoani. Unajivunia kula karanga na ugali wakati ni masikini? Ugali na karanga ni kama matak kila mtu anayo.
Siku hizi watu wanajivunia kuwa na hela.
Movie za kutafsiriwa wanaangalia watoto na waliofeli shule tu

kwan isidingo ilkua inamaana gan au ilkua inamhusu nan katika miaka yote ya kuonyeshwa kwake? iko hiv mwandsh anapotoa jina halileng moja kwa moja iko unachokiwaza kwamfno ndan ya iyo bek 3 kutakua na watu wa maoficn ugomvi ma kazni ndoa kuvunjika mafumaniz madanguro nk kwann ww umgaid mtunz kwa uelewa wako tu?
 
Naunga mkono hoja, hili jina lina ukakasi. Ni vyema wakafikilia upya, hata hamu yankuangalia hiyo tamthilia imeisha.
 
Sijui Kama wanajua wamewaita kwa jina baya zaidi wateja wao to be honest ndo waangaliaji
 
Kweli wewe wa mkoani. Unajivunia kula karanga na ugali wakati ni masikini? Ugali na karanga ni kama matak kila mtu anayo.
Siku hizi watu wanajivunia kuwa na hela.
Movie za kutafsiriwa wanaangalia watoto na waliofeli shule tu
Na tukimaliza hapo tunaenda toi tunatawaza kwa kutumia gunzi,we endelea kutumia kale kabomba kujipiga pressure pale kwny Channel 0 mixer kutumia toilet paper huku ukitembea na mabaki ya mavi katikati ya makalio.Wenye hela zenu bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…