Azam tv naomba kesho mnioneshe takua uwanjani kuishihudia Simba na Yanga Inshaallah

Azam tv naomba kesho mnioneshe takua uwanjani kuishihudia Simba na Yanga Inshaallah

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Wageni karibuni, ndugu zanguni poleni Kwa uchovu wa safari. Najua Kuna watu wametoka MIKOANI na kuunga kuja zenji asee your welcome my fellow tanzanians.

Kesho takua nimetupia jezzy ya Brazil njano cheni silver shingoni, na bangle ya silver mkononi, kijana mweusi mwembaba mrefu, jezzy NYUMA imeandikwa alexido jz, NAMBA 99.

Pliz guys ukiniona nisalimie tu alafu nambie niaje mkuu, mi nikisikia tu neno mkuu tajua mwana huyu, hii ni code sio uniite alexido mana ndo jina langu naitwa na wengi.

Ndugu zanguni ambao mtapata changamoto yoyote msisite kuni arifu, kipaumbele ni wanawake mana najua hawa hawawezi kunidhuru hivo ikitokea shida mnicheki babies and mamaz. Usalama ni mkubwa dkt mwinyi hana masihara kabisa hivo usalama upo wa kutosha jeshi la polisi Huwa liko makini sija pata kuona pia mama yetu yupo hapa kisiwani hivo usalama Hauna shida kabisa, asee karibuni sana.

Hotels na guests za bei chee zipo kibao tena karibu na town changamoto nyie Huwa niwajuaji alafu mnajifanya matawi mmh hayaaa.

Azam nawakumbusha msiache kunionesha msipo Fanya hivo nauza king'amuzi chenu sitaki ujinga Mimi.

Screenshot_20260803-110211.jpg
Screenshot_20260808-144648.jpg
 
Back
Top Bottom