Dah nime ogopa nipo ndani natetemeka mkuu sio Kwa nilicho ambiwa, siamini macho yanguSawa gunner! Usiku mwema
Subiri aje! Itajulikana ni punga au mcheleYule ni punga na akienda Zanzibar anatolewa posa
Mwambie akwambie tenaDah nime ogopa nipo ndani natetemeka mkuu sio Kwa nilicho ambiwa, siamini macho yangu
Nani kaka unahamu na vita vya majimajiWasambaa, huyu ni mtu wenu?!
Mtaongea mengi sana ila mnazidi kuonesha how insecure y'all are. Mimi nilisha sema from now onwards hakuna mtu au kitu cha kunitisha humuYule ni punga na akienda Zanzibar anatolewa posa
Baby mama mbona nilikua nakutafuta Nina ticket mbili dearSubiri aje! Itajulikana ni punga au mchele
Achana nao wasng hao, ila ephen huyo ni demu na mwaka huu mwishoni namchapa haphapa zenji mkuu, aibu utaona wewe😂Mtaongea mengi sana ila mnazidi kuonesha how insecure y'all are. Mimi nilisha sema from now onwards hakuna mtu au kitu cha kunitisha humu
Wewe acha kubania vijana utazeeka naloMwambie akwambie tena
Kila la kheri kwako na kidampa aliyeshindikana na ukweli ni kuwa hana uzuri wowoteAchana nao wasng hao, ila ephen huyo ni demu na mwaka huu mwishoni namchapa haphapa zenji mkuu, aibu utaona wewe😂
Nisikilize ephen nipo serious kwako pliz, NAOMBA basi tuwe in love dear pliz niruhusu nije dm tuzungumze Kwa Siri mamyMwambie akwambie tena
Kaka na hamu na huyu demu acha tu mkuuWewe acha kubania vijana utazeeka nalo
Kaka mi siangaliagi usoni kikubwa awe na k tu kwisha sura tutatumia ya rihanaKila la kheri kwako na kidampa aliyeshindikana na ukweli ni kuwa hana uzuri wowote
Kuna mademu wengi humu tafuta wa kuruka naeKaka mi siangaliagi usoni kikubwa awe na k tu kwisha sura tutatumia ya rihana
Ephen nataka Mimi na wewe tujifungie ndani wiki nzima tachukua apartment mahala asee ni pazuri sijapata kuona pliz am serious alafu mambo ya umri wako eti ni mkubwa Wala usijali wahuni wana msemo ukipenda boga penda na ua lakeMwambie akwambie tena
Usisahau kuvaa wigi lako.Wageni karibuni, ndugu zanguni poleni Kwa uchovu wa safari. Najua Kuna watu wametoka MIKOANI na kuunga kuja zenji asee your welcome my fellow tanzanians.
Kesho takua nimetupia jezzy ya Brazil njano cheni silver shingoni, na bangle ya silver mkononi, kijana mweusi mwembaba mrefu, jezzy NYUMA imeandikwa alexido jz, NAMBA 99.
Pliz guys ukiniona nisalimie tu alafu nambie niaje mkuu, mi nikisikia tu neno mkuu tajua mwana huyu, hii ni code sio uniite alexido mana ndo jina langu naitwa na wengi.
Ndugu zanguni ambao mtapata changamoto yoyote msisite kuni arifu, kipaumbele ni wanawake mana najua hawa hawawezi kunidhuru hivo ikitokea shida mnicheki babies and mamaz. Usalama ni mkubwa dkt mwinyi hana masihara kabisa hivo usalama upo wa kutosha jeshi la polisi Huwa liko makini sija pata kuona pia mama yetu yupo hapa kisiwani hivo usalama Hauna shida kabisa, asee karibuni sana.
Hotels na guests za bei chee zipo kibao tena karibu na town changamoto nyie Huwa niwajuaji alafu mnajifanya matawi mmh hayaaa.
Azam nawakumbusha msiache kunionesha msipo Fanya hivo nauza king'amuzi chenu sitaki ujinga Mimi.
View attachment 3648574View attachment 3648575
Sawa MKE wangu, nawe usisahau kuvaa dela na shanga kiunoni alafu uje na mafuta ya p didyUsisahau kuvaa wigi lako.
Unamuita huyo mdogo wako ili hali nasikia ni mshangazi pro maxIla leo aisee
Haya laza makebo mdogo wangu
Sawa dada angu kipenziUkitaka onekana panda TU bomba utikise wowowo