Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

Kwnn nitazame vngne namm nimelipia kutazama tamthiliya zilizotiwa sauti ya kiswahili ambazo znapatikana Azam Two tu
Sasa kama mpaka umelipia ulikuwa huyajui hayo??Mbona hizo za kituruki zimetiwa sauti za kiswahili??au ulitaka kiswahili cha kituruki?? au chuki za udini zinakusumbua??,,Kikiisha nakushauri usilipie tena,, lipia kile kinachokupa uyatakayo
 
Mkuu haya maisha ya Nini kujitesa, unga unlimited bundle ya halotel elf 50 kwa mwezi ukirudi home pakua movie yoyote unayotaka Toka mtandaoni angalia
Kaka najiungaje hicho kifurushi?
 
Sasa kama mpaka umelipia ulikuwa huyajui hayo??Mbona hizo za kituruki zimetiwa sauti za kiswahili??au ulitaka kiswahili cha kituruki?? au chuki za udini zinakusumbua??,,Kikiisha nakushauri usilipie tena,, lipia kile kinachokupa uyatakayo
Proud to be umekurupuka! Rudia kusoma nilichoandika itakusaidia
 
Hicho king'amuzi ni cha kipumbavu sana!

Yani ni bora startimes mara mia kuliko hako ka decoda kao.

Huwa nawashangaa sana wanaolinganisha huo uchafu na dstv
[emoji16][emoji16]
 
Me nikiona mwanaume anafaatilia zile tamthilia za kituruki zile ambazo zimeingizwa saut ya kiswahil, namtoa maanani kwa kweli
Nalipia kingamuzi kwa ajili ya mpira tu ayo mambo ya tamthilia namuachia wife na watoto.
 
Proud to be umekurupuka! Rudia kusoma nilichoandika itakusaidia
Sasa swala la kusema na kuja kuandika humu filamu zao nyingi zinaonyesha dola za kiislamu zikishinda dhidi ya dola za kikristo,,,ulikuwa unamaanisha nini??na kwani filamu zikiwa hivyo wewe unapungukiwa nini??
 
Nilikuwa namaanisha wameshaonesha nyingi sana za hivyo na nimezitaja kwa majina so imetosha waweke za aina nyingine mana hatulipii kuangalia maudhui hayo hayo kila siku. VIPI HAPO PROUD TO BE BADO TUPO PAMOJA?
 
Mimi huwa naangalia sinema zetu
Jana nikawakuta wanaangalia hizo za kituruki
Nikawaambia hii si ndio ile Ottoman wanasema" Mungu ni mkubwa"
Nikashangaa naambiwa ni nyingine .
 
Mkuu hiyo TV imeanzishwa kwa ajili ya wavaa makobasi. Sasa wewe unaenda kuingalia unafuata nini huko. Tafuta king'amuzi kinachokidhi haja zako.
 
Kwa nini unaumiza kichwa kwa mambo ya kipumbavu
 
Me nikiona mwanaume anafaatilia zile tamthilia za kituruki zile ambazo zimeingizwa saut ya kiswahil, namtoa maanani kwa kweli
Nalipia kingamuzi kwa ajili ya mpira tu ayo mambo ya tamthilia namuachia wife na watoto.
Sasa unataka unachopenda wewe wote wapende hicho hicho??

Hizi akili ni za kijima na kishamba mno.

Mimi pia siyakubali hayo madudu ila siwezi kumbeza anaependa kuyaangalia, kuna watu wengi sio wapenzi wa mpira wa miguu kama ilivyo wabongo wengi wasivyo wapenzi wa michezo mikubwa ya mataifa mengine.

Ukikaa na watu wanaopenda mchezo wa basketball na wana ujima kama wako, basi wewe watakuona kama ngozi ya kalio. Maana na wao hujiona matawi na kudharau/kuona wasioujua au kuupenda mchezo huo ni washamba mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…