Sasa unataka unachopenda wewe wote wapende hicho hicho??
Hizi akili ni za kijima na kishamba mno.
Mimi pia siyakubali hayo madudu ila siwezi kumbeza anaependa kuyaangalia, kuna watu wengi sio wapenzi wa mpira wa miguu kama ilivyo wabongo wengi wasivyo wapenzi wa michezo mikubwa ya mataifa mengine.
Ukikaa na watu wanaopenda mchezo wa basketball na wana ujima kama wako, basi wewe watakuona kama ngozi ya kalio. Maana na wao hujiona matawi na kudharau/kuona wasioujua au kuupenda mchezo huo ni washamba mno.