Azam tv sio burudani kwa wote ni burudani kwa waturuki. Mnaboa sasa

Nilikuwa namaanisha wameshaonesha nyingi sana za hivyo na nimezitaja kwa majina so imetosha waweke za aina nyingine mana hatulipii kuangalia maudhui hayo hayo kila siku. VIPI HAPO PROUD TO BE BADO TUPO PAMOJA?
Sasa hapo inabidi ufanye juhudi kama si kubadilika wewe mwenyewe inabidi usubiri mpaka hapo Azam watakapoamua badilika wao,,Ile ni biashara yeye anaangalia majorities wanapenda nini kwa sasa,,inawezekana wenye maoni kama yako ni machache kati ya wale wengi,,vumilia au jikatae mbona hujashikiwa fumbo wala kulazimishwa kwanini unakua mbishi Dogo??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti dogo, hv unanijua ee KUBWA
 
Mkuu haya maisha ya Nini kujitesa, unga unlimited bundle ya halotel elf 50 kwa mwezi ukirudi home pakua movie yoyote unayotaka Toka mtandaoni angalia
Napataje holotel unlimited ya 50,000 mkuu?
 
Itv alituintroduce kwa wakorea sio mbaya na Azam achague kwake. Alafu tulishaangalishwa sana mapunga kwa wafilipino acha tuangalie mandevu na majambia sasa.
 
Ndugu hata startimes kilio ni hicho hicho ni wafilipino kwenda mbele
 
Me nikiona mwanaume anafaatilia zile tamthilia za kituruki zile ambazo zimeingizwa saut ya kiswahil, namtoa maanani kwa kweli
Nalipia kingamuzi kwa ajili ya mpira tu ayo mambo ya tamthilia namuachia wife na watoto.
Kuna mwanaume leo nimeona anaangalia tema kwenye simu yake..😁😁😁 Ndo nikaamini wanaume kama.mabinti ni wengi sana
 
Kuna mwanaume leo nimeona anaangalia tema kwenye simu yake..😁😁😁 Ndo nikaamini wanaume kama.mabinti ni wengi sana
πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚ inafikirisha kwa kweli
 
Tiktok ndio suluhisho la hawa wajinga wote dstv, azam na wapumbavu wengine
 
Hao wapuuzi nilishaachana nao kitambo, nje ya soka la bongo hakuna content ya kufanya ulipie 25k+. Tamthilia zinajirudia mno na zote mlengo ni uleule (kusambaza uislam) japo sina shida na hilo ila shida ni story kufanana! Azam wamekosa ubunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…