Hii unlimited ya halotel 50k ni kwa line ya kawaida au zile line zao maalum za intermet?Mkuu haya maisha ya Nini kujitesa, unga unlimited bundle ya halotel elf 50 kwa mwezi ukirudi home pakua movie yoyote unayotaka Toka mtandaoni angalia
Chuki za kidini zinahusikaje hapa!? Issue ni maudhui kujirudia, kila tamhtilia story ileile! Hiyo dini inayokufanya utetee kila upumbavu ni ya KIPUMBAVU pia. Kuna wakati mjifunze kutumia akili.Sasa kama mpaka umelipia ulikuwa huyajui hayo??Mbona hizo za kituruki zimetiwa sauti za kiswahili??au ulitaka kiswahili cha kituruki?? au chuki za udini zinakusumbua??,,Kikiisha nakushauri usilipie tena,, lipia kile kinachokupa uyatakayo
Afungue ya kwake hahaMkuu umechafukwa, mnatoa wapi muda wa kuangalia madudu hayo, na huku mnaishi chini ya dola mojaView attachment 2968169
Hufirwi??Chuki za kidini zinahusikaje hapa!? Issue ni maudhui kujirudia, kila tamhtilia story ileile! Hiyo dini inayokufanya utetee kila upumbavu ni ya KIPUMBAVU pia. Kuna wakati mjifunze kutumia akili.
[emoji16][emoji16]Mkuu hiyo TV imeanzishwa kwa ajili ya wavaa makobasi. Sasa wewe unaenda kuingalia unafuata nini huko. Tafuta king'amuzi kinachokidhi haja zako.
Inashangaza kwakweli..!Mkuu wewe ni KE/ME
Hiyo TV imeletwa kimkakati. Cha kushangaza gharama zake ni sawa na DSTVHicho king'amuzi ni cha kipumbavu sana!
Yani ni bora startimes mara mia kuliko hako ka decoda kao.
Huwa nawashangaa sana wanaolinganisha huo uchafu na dstv
Waangalia mpira huwa wanajiona wa maana,umemaliza kila kitu!Sasa unataka unachopenda wewe wote wapende hicho hicho??
Hizi akili ni za kijima na kishamba mno.
Mimi pia siyakubali hayo madudu ila siwezi kumbeza anaependa kuyaangalia, kuna watu wengi sio wapenzi wa mpira wa miguu kama ilivyo wabongo wengi wasivyo wapenzi wa michezo mikubwa ya mataifa mengine.
Ukikaa na watu wanaopenda mchezo wa basketball na wana ujima kama wako, basi wewe watakuona kama ngozi ya kalio. Maana na wao hujiona matawi na kudharau/kuona wasioujua au kuupenda mchezo huo ni washamba mno.
Waangalia mpira huwa wanajiona wa maana,umemaliza kila kitu!
Umemuelewa mdau au bado una usingizi
Ni upuuzi tu mkuu, kila mtu ana apendacho.Waangalia mpira huwa wanajiona wa maana,umemaliza kila kitu!
Mhhh!!Aisee bora kulikodolea macho kalio la bashite kwa kurudiarudia kuliko kutazama waturuki
Kama ulivyofrw wewe madrasa!? Mi sijasoma madrasa ndugu afande Rama wa Zenji.Hufirwi??