Azam TV tafuteni mabondia wengine , Twaha kiduku na Dulla Mbabe tumewachoka , ni local boxers , nje hawafiki hata round 3

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote .

Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa kupigana nje ya nchi , tafadhalini tafuteni mabondia wataoweza kutuwakilisha kimataifa .
 
Dada leo umeongea point. Leo nimeshuhudia usanii hapa bongo.
 
Kwani wamepigana mara ngapi?

Timu Kiduku hapa
 
Anayeandaa mapambano sio Azam ndg ni promoters na kwa sasa nadhan hapa nchini anayesimamia hii kitu ni Kelvin Twisa yule alikuwaga Tigo/Voda na bank kadhaa
Azam wananunua haki za kuonesha kwa runinga
Kelvin kuna mahali nje ya nchi nimesoma naye , kama naye yumo humu basi ujumbe umefika
 
Itakuwa ni mgeni wa ngumi ww. Mabondia kurudiana ni kawaida sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…