Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna shida kuwakumbusha ?
Sasa Azam tv ni promoter? Azam tv anafuatwa na mapromota kama moja ya sponsor tuumewahi kumuona Twaha kiduku akipigana na bondia mwingine zaidi ya dulla mbabe ?
Kawa kumbushe mapromota.Kwani kuna shida kuwakumbusha ?
Mkuu acha masihara mwakinyo wenu haiingii kwa twaha auTunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote .
Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa kupigana nje ya nchi , tafadhalini tafuteni mabondia wataoweza kutuwakilisha kimataifa .
Kupigwa russia sio kigezo cha kumdisqualifyalipigwa Russia round ya kwanza tu
Mwakinyo co mchangan tena kwa uzito wake ni no moja kwa Afrika aje acheze ni mlingoti chuma akatofute watoto wenzeke acheze nao.Mkuu acha masihara mwakinyo wenu haiingii kwa twaha au
Kupigwa russia sio kigezo cha kumdisqualify
Dharau za kipumbavu, wahaya mna shida sana
Hahaha jamaa unanongwa khaaa hahaumewahi kumuona Twaha kiduku akipigana na bondia mwingine zaidi ya dulla mbabe ?
Hakuna bondia wa Tanzania atayeweza kushinda Russiaalipigwa Russia round ya kwanza tu
Kule ni mabingwa wakutumia madawa ya kuongeza nguvu watatuua bila sababuYani, uwanja wa Russia kwetu sisi wabongo (boxing) ni mgumu kweli kushinda au tunaogopa kutupwa Siberia na Putin...
Hajielewi huyo.Itakuwa ni mgeni wa ngumi ww. Mabondia kurudiana ni kawaida sanaa
Yule dada ,mbali na kuwa refaree pia aliwahi kucheza Kickboxing .naomba kujua, ule refarii wa jana, nae anaziweza? nikisimama nae hawezi kaa kweli? na je ameolewa?
Huyu Dulla atafute mishe nyingine nje ya box atakuja kufia ulingoniDulla tena !
Wameamua kumletea Kinyozi ili kumpa promoDulla tena !
Dullah Bondia mzuri tu,Huyu Dulla atafute mishe nyingine nje ya box atakuja kufia ulingoni