It is true anapata pesa kwa kupigana. But anatakiwa akae chini na management yake wawe na mkakati wa kupata faida kubwa kwa kutumia scarcity yake ya kutokuonekana ulingoni ifikie kipindi mashabiki wake tuwe tunahitaji pambano lake na akifikia hapo hata akipigana mara 3 tu kwa mwaka anapata hela nzuri.
Ingwa sikatai kua akipigana mara kwa mara anamake more money ila anatakiwa ashinde hayo mapambano akipoteza mawili mfululizo nae ajiande kuona his downfall.