njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Swali linahusu mkataba wa azam tv,jf ni user generated content au unadhani kuna watu wameajiriwa kuanzisha thread hata zikifika kumi haijalishiHii ni thread ya tano kwa leo kuhusu Yanga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pumzika mkuu unywe hata maji maana Yanga inakupeleka puta
Kukosa kazi ya kufanya ukiwa busy na kazi huwezi kuwa na muda wa kufanya hayo.Hii ni thread ya tano kwa leo kuhusu Yanga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pumzika mkuu unywe hata maji maana Yanga inakupeleka puta
Kaolewe na Manara uwe busy na kaziApp ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje?
Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole kunyuti APP yao ambayo leo wanajifanya ni kitu kipya ndipo sasa yanga wanafanya
Au bado mna maudhui ya ki exclusive kurusha kwenye hiyo yanga tv?
dadeeekiiiii
View attachment 2369527??
ongea naye akuunganishe kwa MZEE TOZI uwe mke mwenza wakeKaolewe na Manara uwe busy na kazi