online GOVT applications
Senior Member
- Sep 7, 2026
- 185
- 182
Sio Kweli.Tanzania sio mjini tu. Vijijini huko network shida ya kupata internet ya kueleweka.Ving'amuzi havina maana siku hizi. Una installation app kwenye laptop, una subscribe kwa elfu 45 kwa mwezi, una connect TV kupitia HDMI unaangalia ligi yoyote duniani
Na gharama za internet? Halafu jumlisha na hiyo 45k si utakua unatumia 120k+ kwenye tv kwa mwezi!!! Asilimia 98 ya watanzania hawamudu hili na hao ndo target ya azam mediaVing'amuzi havina maana siku hizi. Una installation app kwenye laptop, una subscribe kwa elfu 45 kwa mwezi, una connect TV kupitia HDMI unaangalia ligi yoyote duniani
Hili halikwepek japo inaweza fika 32kMjiandae vifurushi kupanda bei maradufu
Hili halikwepek japo inaweza fika 32Mjiandae vifurushi kupanda bei maradufu
Eeh azam sports 5 hd hiyoKumbe nimewasha asbh naikuta ipo kwenye Azam extra wakati niliiacha kwenye chanell nyingine
Tenda ya CAF lazma apewe canal+ kupitia SuperSports, azam atapewa tu haki East Africa maana hawajafika nchi zoteSema maandalizi ya kushindania tender ya CAF.
nakuunga mkono na wakati huohuo nakupinga vikali.Ving'amuzi havina maana siku hizi. Una installation app kwenye laptop, una subscribe kwa elfu 45 kwa mwezi, una connect TV kupitia HDMI unaangalia ligi yoyote duniani
Ukitaka kuamini King'amuzi ni King'amuzi angalizia hiyo stream yako karibu na wanaocheki kwa TV. Wanaanza wao kushangilia sekunde 10 baadae unafata wewe.Ving'amuzi havina maana siku hizi. Una installation app kwenye laptop, una subscribe kwa elfu 45 kwa mwezi, una connect TV kupitia HDMI unaangalia ligi yoyote duniani